Nimezaa na mwanamke mzuri lakini...

Nimezaa na mwanamke mzuri lakini...

bugzbunny

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
847
Reaction score
763
Kwanza kabisa nina sura baya kwa kweli hilo nalijua. Na baada ya kujua hilo, nikasema sitaki watoto wangu wawe na sura baya kama mimi.
Kwahiyo moja ya mkakati wangu ukawa kutafuta mwanamke mwenye sura nzuuri kabisa ili angalau ni dilute kidogo hili sura wasije nilaumu baadae.

Nikatafuta kwa nguvu zote mwanamke mzuri, yani nilitumia uongo grade ya juu hadi nikampa mimba huku nikijua hatuna future yoyote ila nikamdanganya ntamuoa nakadhalika ili tu ata ni dilute hii gene, maana kwetu wote reception ni majanga.

Mimmba ikalelewa hadi akagombana na ndugu zake wasionipenda, akakataa kuitoa kwasababu track niliyompa kwakweli alijua kampata mwanaume bora kuliko wote duniani, na pia alikuwa mgeni kwenye mapenzi hivyo akajua mimi ndiyo kila kitu.

Basi yoote yakaenda juzi usiku akazaliwa njemba. Mimi sikuwepo hospitali ila nilikuwa na safari ya kikazi nje, simu niliyopigiwa na besti yangu ni kwamba njemba inafanana na mimi kopirait pia wakaniwhatsapp. Pumzi zikaniishia kwenye simu. Nikajiuliza sasa hiki ni kitu gani tena? Yani pamoja na kuinvest muda waoote jamaa kafata tena ile reception yetu ya kule nyumbani? Imenidepress vibaya mno maana nimerudi leo nimemuona, du nimechoka. Ila namshukuru Muumba. Naombeni ushauri
 
Hapo tena unataka shauri gani na mambo ulokuwa ukiyatafuta umeyapata.

Wewe unasema una sura mbaya sasa unamfanya Mungu hajui kuumba.

Ridhika na kile Mungu amekujaalia.
 
He he he he kivuli chako icho braza uwezi kukimbia ila inaonekana mna damu kali kwenu yani mnafanana kama mapera..sasa saivi dilute na foreigner rangi nyeupe hiyo haidanganyi tena unaeza ukamezwa we tatizo lako si unataka utoe gene tu ya mababu...
 
Ukiona mtoto wako mwenyewe unahisi hana sura nzuri ni kwamba wewe mwenyewe una matatizo makubwa sana....nakushauri uende kwa wanasaikolojia wakusaidie kwani una roho ya kujichukia iliyopita kipimo! Otherwise mtoto ni zadi toka kwa muumba na wanaume siku zote hawasifiwi sura!
 
muoe tu mkuu mambo ya genetic hayo...yawezekana mtoto wa pili au watatu..au wote wanaofuatia watachukua sura ya mama yao...pia sura ya mtoto hubadilika kadiri anavyokua yawezekana sura yako ikafifia kidogo na baade mtoto akachukua sura zenu nyote...ila hakuna Binadamu mbaya mkuu...kwanini alikukubali...Remi ongala mbona alikua na mke bomba tu..na umemuona Kaly ongala...tusimkose Muumba Jamani....
 
Kwanza kabisa nina sura baya kwa kweli hilo nalijua. Na baada ya kujua hilo, nikasema sitaki watoto wangu wawe na sura baya kama mimi.
Kwahiyo moja ya mkakati wangu ukawa kutafuta mwanamke mwenye sura nzuuri kabisa ili angalau ni dilute kidogo hili sura wasije nilaumu baadae.

Nikatafuta kwa nguvu zote mwanamke mzuri, yani nilitumia uongo grade ya juu hadi nikampa mimba huku nikijua hatuna future yoyote ila nikamdanganya ntamuoa nakadhalika ili tu ata ni dilute hii gene, maana kwetu wote reception ni majanga.

Mimmba ikalelewa hadi akagombana na ndugu zake wasionipenda, akakataa kuitoa kwasababu track niliyompa kwakweli alijua kampata mwanaume bora kuliko wote duniani, na pia alikuwa mgeni kwenye mapenzi hivyo akajua mimi ndiyo kila kitu.

Basi yoote yakaenda juzi usiku akazaliwa njemba. Mimi sikuwepo hospitali ila nilikuwa na safari ya kikazi nje, simu niliyopigiwa na besti yangu ni kwamba njemba inafanana na mimi kopirait pia wakaniwhatsapp. Pumzi zikaniishia kwenye simu. Nikajiuliza sasa hiki ni kitu gani tena? Yani pamoja na kuinvest muda waoote jamaa kafata tena ile reception yetu ya kule nyumbani? Imenidepress vibaya mno maana nimerudi leo nimemuona, du nimechoka. Ila namshukuru Muumba. Naombeni ushauri

Mkuu nyie ni ukoo Wa nyani nini? Pole sana!
 
Post kwenye jukwaa la vichekesho mkuuu
 
You are a disgrace to almighty.Fanya ukatubu kwa hili uliloliandika hapa tena ufanye toba nzito mnoo.
 
Unataka uzae hemed phd wakati wewe ni remmy ongala?

Btw, shukuru umezaa kidume, take it to school first, silaha ya kwanza ya kudumu katika maisha!

Then komaa na kusaka mkwanja, mengineyo baadae..
 
jamaa ungekuja kabla tungekupa ushauri lakini hapo lea na oa kabisa...
 
Back
Top Bottom