Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,749
- 1,312
huyo si mtoto wako, ni mtoto wa mwenye ndoa. unaweza kuona hata kwenye kadi ya kliniki waliweka jina la huyo mwenye ndoa, na mtu pekee atakayethibitisha kuwa huyo ni mtoto wa nani ni huyo mwanamke kwasababu yeye ndiye anayejua lini alikuwa siku za hatari hata kupata mimba ya nani....au la wewe mwenyewe uanze kwenda kujilisha kwenye mdomo wa simba, uanze kuingilia ndoa ya watu (unafuata kifo?) uwaambie unahisi huyo mtoto ni wako hivyo mkapime dna ndipo pengine itathibitishwa. kitu kigumu sana icho, kwenda kwa mume wa mtu kumwambia mimi nililala na mkeo nikampa mimba nahisi huyo mtoto wako ni wangu...imagine kama pembeni yake kuna upanga utapona kweli...hahaha,Wakuu pasipokujua niliazisha uhusiano na mke wa mtu tukiwa chuoni,mpaka kupelekea kumpa mimba ndipo nilijua kuwa ni mke wa mtu kwani aliamua kuniweka wazi, sasa jana nimekutana nae akiwa na mtoto kwa kweli mtoto ni mzuri sana nifanyeje ili nimchukue
Ile ni damu yangu lazima nimchukue uhakika ninao 100%.
unatafuta kupigwa bastola ...
kamchukue mwanao ikibidi umteke. mia
Tunaomba mrejesho mtoto umefanikiwa kumchukua.Wakuu pasipokujua niliazisha uhusiano na mke wa mtu tukiwa chuoni,mpaka kupelekea kumpa mimba ndipo nilijua kuwa ni mke wa mtu kwani aliamua kuniweka wazi, sasa jana nimekutana nae akiwa na mtoto kwa kweli mtoto ni mzuri sana nifanyeje ili nimchukue
MuibeWakuu pasipokujua niliazisha uhusiano na mke wa mtu tukiwa chuoni,mpaka kupelekea kumpa mimba ndipo nilijua kuwa ni mke wa mtu kwani aliamua kuniweka wazi, sasa jana nimekutana nae akiwa na mtoto kwa kweli mtoto ni mzuri sana nifanyeje ili nimchukue
Mkuu mrejesho vipi umemchukua mtoto.Nitamchukua tu mkuu haiwezekani damu yangu ipotelee nje.
Ni miaka kumi ishapita.Nitamchukua tu mkuu haiwezekani damu yangu ipotelee nje.
Mkuu mrejeshoNitamchukua tu mkuu haiwezekani damu yangu ipotelee nje.