Im not sure
Member
- Sep 6, 2013
- 36
- 25
Usijali muulize wa juu yako...Mbona sielewi?
Kwani nani kakuambia vyote vya duniani lazima uvielewe? Vingine wewe pishana navyo tu ili mladi havina athari.Mbona sielewi?
Samahani,mwanzoni nilijarb kufungua lakn haikufunguka! Sasa hivi nimeijarb imefunguka...kuna ujumbe mzur sana zaid ya tiba ya HIV/AIDSKwani nani kakuambia vyote vya duniani lazima uvielewe? Vingine wewe pishana navyo tu ili mladi havina athari.
Sasa hiv nimeielewa mkuuKwani nani kakuambia vyote vya duniani lazima uvielewe? Vingine wewe pishana navyo tu ili mladi havina athari.