Wandugu watanzania salaam. Sina nafasi katika majukwaa wala uwezo kuongea na media LIVE kueneza ukweli. Knowledge is power,nimetumia resources nilizonazo nimefanikisha zaidi ya watu 500 kupiga kura kwa Lowassa oktoba 2015.
Hawa ni pamoja na jirani zangu, wanasport wenzangu, classmates wangu, share holders wenzangu.
Kila wakati nawa up date wasisahau kupiga kura siku hiyo kwa Lowassa.
Hawa ni pamoja na jirani zangu, wanasport wenzangu, classmates wangu, share holders wenzangu.
Kila wakati nawa up date wasisahau kupiga kura siku hiyo kwa Lowassa.