Nimewaza nimeibuka na hili wazo je unanishauri ninj

boyson onlye

JF-Expert Member
Sep 13, 2015
1,104
1,385
Habarini wakuu

Nimewaza kuanzisha biashara ya vipodozi wakati naendelea kuitafakari na kuzungukazunguka hapa mjini nimewaza kupanga frame then niikate katikat upande mmoja niweke urembo na vipodozi upande mwingine niwatafute vijana wasafisha kucha wawili then niwaweke pale wawe wanasafisha kucha na kufanya huduma nyingine zinazofanana na hizo kama kuosha miguu, vifaa vyote viwe vyangu then tutalipana kutokana na kazi watakazofanya

Wakuu nakaribisha ushauri, maoni au hata anayejua utaratibu faida na hasara za kufanya hivyo
 
Wasafisha kucha wanawafata wateja majumbani. Otherwise kujaribu sio mbaya
Ni changamoto pia but wengi wao huwa wanatembea mda ambao watu wapo makazini but wakirud wanahitaji huduma niliwaza tu
 
Hata saloon nyingi hufanya hivyo, unaweza ukatafuta hata msusi wa nywele unamuweka hapo, msafisha kucha pia mnakubaliana watakulipa Vipi wewe
 
Back
Top Bottom