Kijana Msomali
Member
- May 10, 2012
- 92
- 71
hii ndo jf
unaweza sema nina vubuzi/mademu kumi jf
kumbe mtu mmoja anaku enjoy tu na id zake lol
upuuuzi mtupu
Kupima ni hatua moja na maisha baada ya kupima ni hatua nyingine,wengi wanadhani wakishapima ndio tiketi ya kwenda kujiachia,mtakufa vibaya maana virus wakati mwingine ndio vinakuwa vimeingia na havijasambaa hivyo si rahisi kuonekana,haya mwenzangu unaenda kupima nae leo na unajiachia mwanzo mwisho ujue kaburi la mapema linakukaribia.Helllo My People
Huwa Nashangaa Sana Pale Napoona Wanaume Wanapotafuta Dada Poa Ili Wakajiridhisha na Tamaa Zao Za Kimwili.....hivi ina maana hawana mademu hata wa kusingiziwa ama hawajui kutongoza (Domo Zege).....yaani mademu wote hapa Dar unashindwa hata kuanzisha relationship na mmoja wao.....kisa mkasa kutafuta Dada Poa ambao mwisho wa siku watakuachia maradhi yao......tafuta demu wako wa ukweli muende mkapime then munong'oka kwa kujiachia.....