Nimewavulia kofia 'HALOTEL'

ULIAMBIWAAA KIFURUSHII N CHAFAMILIA MPAKA UFEE

ANGALIA TAR ULIOJIUNGA ONGEZA SIKU 30. IMEPITAA WELA KINGINE PUNGUZA MUNKARI
 
Nami yamenikuta jana nimenunua muda wa maongezi 10,000 kupitia NMB mobile cha ajabu NMB wameniambia huduma imekamilika na msg ninayo lakini hakukuwa na salio kwenye simu hadi hii leo. Nimepigwa bumbuazi sielewi kilichotokea
 
ULIAMBIWAAA KIFURUSHII N CHAFAMILIA MPAKA UFEE

ANGALIA TAR ULIOJIUNGA ONGEZA SIKU 30. IMEPITAA WELA KINGINE PUNGUZA MUNKARI
Ina maana mi sjui mwezi una siku ngapi mpaka nije kulalamika? Kuwa serious kidogo mkuu.. mi sio mtoto mdogo kuleta hizi tuhuma hapa
 
wew umetumwa na tigo kama sikosei itakuwa ni airtel inawezekana ni voda labda Zantel au TTCL
 
Huduma kwa wateja wao hawana,hata mie walivyoniletea uf"*rauni wao nikapiga weee 10 lakini si kupata ya kuongea na muhudumu kwa mteja. Nimelitupa li line lao. Wezi,sana halotel
 
HALOTEL Mb zinapepea sana
Mimi Nina laini zote
Hapa nawatathmin Zantel nao niwaone mbwembwe wakizingua pia nawahama.
 
Hawa halotel ni washenzi sana ujanjaujanja wanatufanyia ni mwingi, utakuta umeweka salio la 2000 unataka kifurishi unaambiwa salio halitoshi, ukiangalia salio unakuta 1900, 100 wanakwambia ni quiz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…