Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,254
- 15,743
Ulijiunga kifurushi cha muda gani?Aisee haya majambazi sijui ndo majizi HALOTEL ni kasheshe kwenye simu yangu.
Ipo hivi, wiki mbili zilizopita nilijiunga na kifurushi cha 10,000 nikapata Dakika 800 halotel, 80 mitandao yote, na MB 6500. Sasa cha kushangaza mimi huwa nawasiliana na mchumba wangu na yeye ana halotel tu.
Na ni mara chache sana huwa napiga simu mitandao yote na kwa kipindi cha wiki moja baada ya kujiunga na hiki kifurushi sikumbuki hata kutumia zaidi ya dakika 10 mitandao yote.
CHA KUSHANGAZA
Leo naangalia salio la kifurushi nakuta sina dakika halotel halotel, na sina dakika mitandao yote.. nikacheki mda nilioongea na mpenzi wangu hata jumla dakika miatano kwa wiki nzima hazijafika. Yaani nimechoka mpaka sasa najiuliza sipati majibu.
Nafikiria kuliamsha dude ila napiga huduma kwa wateja siwapati.. Nipo nje ya mji kwa sasa mpwawa nafikiria nikirudi nikaliamshe dude.
ILA KWA WANOTUMIA HUU MTANDAO WA MAJAMBAZI KUWENI MAKINI, HAYO MAJITU NI MAJAMBAZI YA KIMATAIFA YENYE MTANDAO WA SIMU
Kifurushi ni cha mwezi mkuu.. najiuliza hata sipati majibuUlijiunga kifurushi cha muda gani?
Maana inawezekana kifurushi chako kime expire Mkuu
Sijui niende mtandao gani sasa... nimechukua line ya TTCL kwa hasira leo ikinishinda na yenyewe itabidi nihame nchi kabisaHalotel nao balaaa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Sijui niende mtandao gani sasa... nimechukua line ya TTCL kwa hasira leo ikinishinda na yenyewe itabidi nihame nchi kabisa
Bora umenisaidia ku share.. hawa watu ni shidaaa hapa mjini.. Ina maana uchumi wa viwanda kwao ni kuiba salio kwa mteja?Halotel ni washenzi mb zao na Dk zinakatika fasta mnoo mi nimewahama
Dah,Kifurushi ni cha mwezi mkuu.. najiuliza hata sipati majibu
Asante mkuu, nilitaka kuvumilia kutokusema ila roho imeniuma sana.. siwezi kukaa kimya wakati wanataka kutumia salio langu kama mtaji kwenye uchumi wa kiwanda chao cha ujambazi.Dah,
Pole sana aisee
Kimbia ufe mheshimiwa kama unalipenda salio lako.. maana litayeyuka kama mshumaaNdio nawatumia ila wanatia ukakasi maana kila siku wanapunguza kifurushi. Yani wameanzia GB 10 mpaka saizi GB6
AnafaidiHalotel nao balaaa
Hawafai hawa jamaa.. Na kwa hali hii ya vyuma kukaza nahisi wanazidi kuvichomelea kabisaKuna siku walinikata mb 500 ndani ya masaa 3 tu na nilikuwa nimezitumia jf na whatsapp tu na sikudownload kitu chochote, tangu siku hiyo sijawahi kuitumia tena.
Inatia huzuni sana mtu kuona jasho lako linaliwa kwa dhulma ya wazi wazihalotel ni shida yaani mb zao zinakimbia zaidi ya upepo....mi natamani kutupa line.
Mi lazima nikaliamshe dude.. ikibidi nataka niandike barua TCRA na nikachukue RB polisi mpaka kielewekeHilo tokeo limenitokea juzi na nikwafata ofisin kuwauliza ikiwa wana tatizo manake naona kifurush na dakika zilikatwa hafla. Wakaniambia hakuna tatizo