Nimewashtukia watu JF

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
45,332
Reaction score
95,711
Nasikia Faiza Foxy alisomaga seminary enzi za mkoloni.
Rev Masanilo alisomaga madrasa akakimbia bakora.
Mohamedi shosi maalim wa madrasa.
St Ivuga katekista.
Jeykey mnajimu/mtabiri wa nyota

Endeleza wengi
Jf chit chat msipanic, niliowataja
 
Unasikia hauna uhakika hahaaa
na mimi nasikia mtu chake alikuwa bingwa wa kupiga chabo
 


Mirembe umetoka lini?
 
Namfahamu #Mtu chake, alikuwa mke wangu wa tatu nikamuacha kwa tabia hizhiz hivyo wana jf mvumilieni!
 
...hahahahahaahahaha..popo bawa..awe mke wako kweli?..JB..nitake radhi..kaka mkubwa..check post #5
 
Nasikia pamoja na ww kuwa hakimu lakini unakula ganja sana, nasikia
 
Mtu chake nasikia ulipopanda ndege na ilivyopaa tu ulipiga kelele kuuliza "Khaa! Saa ngapi nimevuta bangi mbona naona kama napaa mimi?"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…