Nimewapiga wote na kesho shaurini


Nenda kawapige tena makopi hapo hapo mbele ya wazee wa baraza
 
Waambie niliingia kati nikatumia nguvu za ziada kuwaamua, lakini kama munavoona viongozi, mama wenyewe ni wakubwa ilibidi utumie nguvu za ziada kuwatenganisha. Wakati unafanya hivyo wao wanaendelea kurushiana ngumi zinakupata wewe. Ukaamua kumtandika ngumi mkeo na kwa bahati mbaya huyo mwengine akajileta kuendeleza mapambano na mkeo, kibano kikampata yeye. Lakini the whole idea ni kuwa unaamua ugomvi. Usikubali kama umempiga kwa kukusudia. Ukiona anajifanya mkaidi mgeuzie kibao anakutaka ndio anamuonea wivu mkeo
 
Walikuwa wanakinga maji kwako au kwa jirani? Kama ni kwako wewe tulia na itikia wito eleza ulivyokuta waneshikana mashingo ukaamua kupunguza gasia in the prosess ulijikuta wote unawatandika. Omba samahan, pili omba kujua kisa cha ugomvi.
 

Lakini una tabia ya kupiga mkeo! Ni mzoefu wa kupiga mwanamke! Unahatarisha ndoa yako!
 
Kama bado hujaenda, fika kuwa mstaarabu, jitahd kukubali ulikosea saana na unajutia. Mwisho waombe msamaha
Usisahau ka mrejesho
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…