Nimewaona leo LIVE

Afadhali wabunge wa CCM wanajua kurudisha fadhila! Hebu tuambieni hizo za wabunge wa CDM huwa zinaenda wapi?

Hakuna cha fadhila ni corruption na ufisadi tu. Pua ndefu utafikiri kisim-
 
hapa nina kadi za mialiko 27 zote zinataka michango ya mbunge.naomba sana Posho ziongezwe....tena iwe laki 5 na ziitwe ujira wa mwia
 
ritz ugumu wako wa kusoma ndo mana unaona hasomeki wenzio mbona tumemuelewa????kama hujaelewa kaachini uliza wenzio ambao ni wepesi wa kuelewa ili uelekezwe
 
Ccm hali ni mbaya mno bila kufanya hivyo mbunge aweza kuitisha mkutano na kujikuta yuko peke yake
 
 

habari jalelo che mcheza karate!vuta subira hilo jimbo linakuja kukombolewa!nna plan ya kuja kugombea naamini sasa wayao wamestuka!
 
duu huwa siasa zinauwendawazimu ukifuatilia sana unaweza ua mtu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…