Mungu ibariki Tanzania,
Dumisha uhuru na umoja,
Wake kwa waume na watoto,
Mungu ibariki,
Tanzania na watu wake.............
Atteeeeeeeeeeention wote simameni kiumbe mwenye upekee jf kaingia..........msiniulize kwa nini.......ila jamani sisi wengine tunamgwaya.
Hahahahahahha. . Missed you too wangu. Ngoja ntaanza kuporomosha vitu humu ili usinimiss zaidi.Wow Lizzy! How sweet to see you back.Umepotea sana kiasi kwamba server za JF zilipata kazi kubwa kukutambua!
Mie nilikumiss ile mbaya maana posts zako nilizipendaga sana.
Karibu mamie, tunakukaribisha sana chitchat.
Heheh hilo palizi kweli lilikuwa la muda mrefu...
Mungu ibariki Tanzania,
Dumisha uhuru na umoja,
Wake kwa waume na watoto,
Mungu ibariki,
Tanzania na watu wake.............
Atteeeeeeeeeeention wote simameni kiumbe mwenye upekee jf kaingia..........msiniulize kwa nini.......ila jamani sisi wengine tunamgwaya.
Mungu ibariki Tanzania,
Dumisha uhuru na umoja,
Wake kwa waume na watoto,
Mungu ibariki,
Tanzania na watu wake.............
Atteeeeeeeeeeention wote simameni kiumbe mwenye upekee jf kaingia..........msiniulize kwa nini.......ila jamani sisi wengine tunamgwaya.
Weeee. . .Kuna mazao mengine yana kiburi balaa. Hayakubali mvua wala mbolea. . Lolzzz
Unanigwaya na mi pia nakugwaya...yani bila bila. Nilikumiss sana lakini aisee tajiri la kihaya.