Nimewaletea vya shamba....

MyTz

JF-Expert Member
Sep 20, 2011
333
62
Habari waungwana...
MzeeWaShamba hapa, mgeni wenu humu jamvini...
WanaJF naomba mnipokee...
 
karibu sna............hbu we mtto pokea hyo MIHOGO hyo kwa mgeni

hahahahahahahah...
we MIKATABAFEKI JUNIOR ukipeleka hiyo MIHOGO store, rudia uchukue hizi parachichi na ndizi!!!
Thanks mkuu kwa kunikaribisha jamvini....
 
Shamba gani mkuu?

hahahahahah....
Shamba lolote lenye rutuba lililo jirani na chanzo cha maji, nimejikita zaidi kwenye MAJARUBA YA MPUNGA!! nikuwekee gunia ngapi mkuu, we member sikuuzii gharama yako ni Transp tu??
samahani mkuu hiyo ID, ulitaka kusema "ULIMKAFU" au??
pa1...
 
Mzee, mzee, mzeee wa shamba karibu jamvini, ila jitahidi kufuata kanuni na miongozo la hili jukwaa
 
Mzee, mzee, mzeee wa shamba karibu jamvini, ila jitahidi kufuata kanuni na miongozo la hili jukwaa

nimekupata papason...
nitafanya hivyo mkuu!! pande zp mda huu wewe?? wahi soko la Tandale hapa ujipatie zawadi za shamba!!
Thanks mkuu, nimekaribia
 
Umepata kinywaji lakini??? Au hawa uliowakuta wamesahau kukupatia kutokana na furaha ya kupata mizigo toka Shamba??? Subiri Chatu Dume akuletee kinywaji....
 
Umepata kinywaji lakini??? Au hawa uliowakuta wamesahau kukupatia kutokana na furaha ya kupata mizigo toka Shamba??? Subiri Chatu Dume akuletee kinywaji....

heheheheheheh....mkuu siwalaumu kwa hilo, kitambo sana vijana hawajatia kinywani vitu fresh vya shamba wao ni mavyakula yenye kemiko tu hapa mjini so lazima wawe bze navyo!!!
Chatu Dume yupo section ya vinywaji sio? namsubiri hapa...
thanks bro...i&i
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom