Private investigator
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 303
- 287
Eti kuanzia sasa hawamgusi mtoto wa mtu, zile taratibu na kanuni ndizo zitakazofuatwa.
Hofu yangu ni mlolongo na ubutu wa hizo taratibu, bureaucracy na muda utakaopotezwa kwa ishu ndogo.
Walivyojipanga naliona anguko la nidhamu na future ya vijana wetu, wadogo zetu na watoto wetu.
Madai ya msingi in kuwa, mbali ya wana taaluma hao kuwa na shida kibao, malalamiko kibao kwa hao watoa matamko lakini yao yanapuuzwa kana kwamba hayaonekani.
Wakaenda mbali zaidi na kuhoji, Mani ametoa tamko kuhusu mishahara yao, ajira mpya zilizopigwa stop, vyoo vyao kazini, ofisi zao, mapunjo yao, na mengine kibao.
Wakahoji zaidi kuhusu wenzao wanaopigwa na watoto hao hao mf: Mpanda nk. Kimsingi wakadai sasa "kama mbwai, mbwai tu", kila mtu atakula alikopeleka mboga.
Hii ni hatari na inabidi wenye matamko watamke upya, wenye kuadhibu waadhibu upya, wenye kupeleleza nao wapeleleze upya.
Ni hayo tu.