Nimewachwa Baada Ya Kuzamia Chumvini.

Yaani wewe binti hovyo kabisa.
Post zako ohoo....kanijambia usoni.., mwanaume wa dar , nimemfumania demu wangu na ticha, mama yake mchepuko wangu kanifumania....
Wiki ijayo utatoka na mpya....uume wangu unayeyuka...nk!
Any way nimekupa like
 
🙂🙂🙂 sina la kusema mkuu
 
Mtumie sms mwambie baby nakupenda sana naomba nisamehe kwa kilichotokea, usijisikie vibaya na hali uliyokua nayo nakupenda na ndio mana nataka nikusaidie upone..nimekutafutia dawa nimeambiwa inaponesha kabisa naomba tuonane niweze kukuelekeza vizuri my love !!

We jamaa na utafute kweli hio dawa...dawa zipo na zinaponesha kabisa ni wewe kuonesha nia ya kumtafutia na kumsaidia kama unampenda.
 
Huyo dem wako kiboko, anajikunja hadi huoni?
Huyo dem ni jamii ya konokono kama sio Kobe
😀😀 Inabidi nikiandika stori niweke kila kitu kiwe wazi hapa naona. alijikunja miguu yake mkao wa Nguva akiwa na pillow kifuani na mwengine mapajani. Ndio kumuona analia nikampa na shuka kujifunika kwani kulikuna na kibaridi cha a/c kidogo.
 
asante kwa ushauri safi sana mkuu.
 
Yaani wewe binti hovyo kabisa.
Post zako ohoo....kanijambia usoni.., mwanaume wa dar , nimemfumania demu wangu na ticha, mama yake mchepuko wangu kanifumania....
Wiki ijayo utatoka na mpya....uume wangu unayeyuka...nk!
Any way nimekupa like
Kuna post yake moja inasema anataka atoke kwenye Jamii Forum auze sura.
Msamehe bure labda ndio lengo la posts zake.
[emoji188] [emoji188] [emoji188]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…