MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,
hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?
Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni
Yah nashukuru, ni afadhali sanaShukuru kakuambia sasa hivi, je angekuambia baada ya miaka, wakati mna familia. Hapo usikate tamaa sababu nauhakika kuna jamaa wengine walikuwa wanakutamani lakini sababu ya huyo jamaa walishindwa kufanya move. Kila jambo lina heri yake. Kakuepushia sharii huyo
Ni maneno tu Speake ya kujustfy maumivu ninayosikia hata kwenye khanga yapo, ina maana hata huruma huna?
Mchungaji na wewe unaniona mi mpiga mizinga? lol
Ni rafiki as boyfriend..... niko mbali nae ....i mean niko mkoani huku niliko hakuna cafe nimetoka mwendo wa mbali ili japo nikasome emails nimekutana na kibomu hicho duuuuuuuu nusu nianguke but thanx God mkaka wa hapa kani save, bado niko hapahapa kila saa nafungua nasooooooma narudi humuDinnah
hata sijui nisemeje.......... Hivi ulishajikuta siku unaamka na furaha saaana kwa kuwa tu unahisi una amani ya moyo? halafu ghafla unapata habari ya kusikitisha?? ndicho kilichonitokea leo. Pole dada ila tambua kama alivyosema mayassa kila jaribu hutokea kwa sababu na every disappointment is a blessing.............. nakuul;iza tu swali dogo but jibu lake litaniweka wkenye nafasi nzuri ya kushare niliyo nayo.
.......Huyu bwana kipofu asoona connection (whatever that means to him) kati yenu...........ni mchumba, boyfriend au Mume??
Tafadhali turuhusu tushee machungu yako.
Ni rafiki as boyfriend..... niko mbali nae ....i mean niko mkoani huku niliko hakuna cafe nimetoka mwendo wa mbali ili japo nikasome emails nimekutana na kibomu hicho duuuuuuuu nusu nianguke but thanx God mkaka wa hapa kani save, bado niko hapahapa kila saa nafungua nasooooooma narudi humu
Ni rafiki as boyfriend..... niko mbali nae ....i mean niko mkoani huku niliko hakuna cafe nimetoka mwendo wa mbali ili japo nikasome emails nimekutana na kibomu hicho duuuuuuuu nusu nianguke but thanx God mkaka wa hapa kani save, bado niko hapahapa kila saa nafungua nasooooooma narudi humu
Ndio bwana niko mwanza vijijini nalima viazi karibu
Nafikiri umesoma vibaya embu soma upya ili uchangie unazidi kunitia majonzi
Namshukuru sana Mungu, MwanajamiiOne ila tu sie kama binadamu tunajkuta tunasikitika ila ukikaa mwenyewe ukatafakari unajipa majibu mwenyeweKwa signature yako wewe unamwamini MUNGU na umekuwa ukiomba akuonyeshe yaliyo kweli. Supposed hii ni njia ambayo MUNGU ameamua kukufunulia kuwa huyu hakuwa pangio lako?? ungejisikiaje kama maneno haya angekuja kuyasema na KUYATEKELEZA mkiwa tayari mmeshahalalisha mahusiano yenu na kila mtu anajua? How would you take it kuwa ulikuwa Mrs wa Fulani halafu huyo Fulani kaingiwa na wazimu (tena usopona- yaani kaamua na ndio kaamua) kuwa hamna future so mseparate??
Ahsante mkuu mathayo saba mlango wa ngapi?