Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,448
- 4,985
sheria za ardhi mbona ziko wazi jamani.... ukimiliki ardhi kwa mda mrefu bila development yoyote serekali ina locus yakukunyanganya ardhi hio.........je kuna maendeleo yoyote ambayo ulifanya?namaanisha hata kuweka b con?au kuweka jiwe lolote la msingi?kumbuka ardhi hapa tanzania ni ya raisi wa jamuhuri anauwezo wakukunyanganya mda wowote akiwa na public intrest na ardhi hio......
mkuu kiwanja kimepimwa na kina hati miliki ya jina langu!bcon na pin zote zipo squarea metre 2200 low density.then asilimia kubwa ya viwanja havijaendelezwa eneo hilo mm ndio nataka kuendeleza.
leo mchana nimepitia wizarani bado inaonyesha mimi ndio mmiliki halali
sheria za ardhi mbona ziko wazi jamani.... ukimiliki ardhi kwa mda mrefu bila development yoyote serekali ina locus yakukunyanganya ardhi hio.........je kuna maendeleo yoyote ambayo ulifanya?namaanisha hata kuweka b con?au kuweka jiwe lolote la msingi?kumbuka ardhi hapa tanzania ni ya raisi wa jamuhuri anauwezo wakukunyanganya mda wowote akiwa na public intrest na ardhi hio......
Wewe kweli ni Nyati huogopi kitu... Sasa hapo hayo maelezo yako ni sheria ipi unakuwa umetumia?Asikutishe wao (Ardhi) waliouza hivyo viwanja hawakuweka miundo mbinu km umeme hivyo wewe una haki ya kusubiri kuendeleza hii ndiyo iwe hoja yako kwani tulipouziwa walisema wataweka barabara za lami, maji na umeme ambavyo maeneo mengi havipo. Hao waliouziwa wameliwa kwani ilibidi waende Wizara ya Ardhi kuhakiki, na kama rais angetwaa kiwanja chako basi ilibidi itangazwe ktk gazeti la Serikali. Mimi nakushauri endelea na ujenzi kwani ukuwatapeli wewe hakuna haja ya kusumbua kichwa.
zungusha uzio,weka bango ,mtambulishe mkit mtaa, kafanye search 1st floor ardhi then kama jina ni lako kwenye search weka caveat, endelea na ujenzi simultenously na kuomba permit. Openly kiwanja ni chako wahi kabla hakijajengwa itakuwa complicated.
mkuu karibu na wewe utoe mawazo yako yakusaidi stori izidi kuwa nzurihii story ni nzuri
mkuu JERRYone serikali hawajalichuakua ila matapeli ndio wanamefanya hivyo! nimekuwa mmliki tangu 2007 na kuna vitu vingi vilinifanya nishindwe kuanza ujenzi mfano hapakuwa na miundombinu mizuri ya mtui kuishi eneo hilo pia usalama ulikuwa mdogo sana!yawezekana ni kweli ukawa mmiliki halali wa hiyo plot lakini umekuwa ukihold kwa muda gani? na unaimiliki kwa kutumia sheria ipi kati ya deemed right of occupancy na grant right of occunancy..? maana unaweza kuwa na plot ambayo unamiliki kihalali lakini ukashindwa kuindeleza kwa muda mrefu bado serikali na locus ya kuichukua lakinin pia ni vema nikijua kama ulitumiwa notice ya kunyang'anywa hiyo plot..?
asante mkuu nimechukua taadhari kubwa maana baadhi yao walitaka tukutane nikawaambia kupitia simu kuwa kwanza twende baraza la ardhi kila mtu akiwa na legal document za kumiliki kiwanja cha serikali,sasa hawa wenzangu wanazo hati za kimila walizoandikishana kwa wanasheria wao. so mm nimekataa kuonana nao maana wanaweza kunidhuru wakinipigia simu unaona kabisa hawa watu wamepanic wamegundua wameshatapeliwapamoja na kuwa wewe ni mmiliki halali lakini usisahau hapo kuna mtu keshatoa 70m na wengine sijui wametoa kiasi gani. Kumbuka akili ya mtu anayeshawishika kutoa 70m bila kujua kuwa kuna kitu kama kwenda wizarani kuhakiki lazima ni ya chini sana na anaweza kufanya lolote akiangalia mwenye kiwanja (maana anaona ndiye kakichukua) bila kujua kuwa mbaya ni aliyemtapeli. Tumia busara kuchukua tahadhari katika hilo.
Hili ni tatizo lingine kuishi kwenye nchi ya watu tusiopenda kuwajibika na kufikiri.