Tupe codeKwann mnapenda utajiri wa mateso kwa kuingia mikataba na majini wakati unaweza pata utajiri kupitia malaika bila masharti cha muhimu umjue malaika wako wa utajiri ni nani kupitia number yako ya kiroho ni ipi kila mtu duniani ana code number yake ndiyo imebeba kusudi la maisha ya mtu
Kwa mujibu wa chatGpt " Kumuabudu Mammon kwa njia ya ngono ya lazima (forced or ritualistic sex)—hasa kinyume na maumbile—ina maana mtu anadhihirisha unyenyekevu wa hali ya juu kwa pepo huyo, kwa kumruhusu atawale hata mwili wake"Duh,
Wee ni mwanamke au dume?
Kama huyo jini hana jinsia mtakuwa mnakulana vipi, tena shoo pevu ya masaa 4 ?!!
Punje..Yes ila kuna namna wajanja hasa wanaija wanafanya basi wanakuwa hawaonekani kwenye huo ulimwengu wanakuwa kama wamekufa kumbe bado wapo
Nakazia hapoKwann mnapenda utajiri wa mateso kwa kuingia mikataba na majini wakati unaweza pata utajiri kupitia malaika bila masharti cha muhimu umjue malaika wako wa utajiri ni nani kupitia number yako ya kiroho ni ipi kila mtu duniani ana code number yake ndiyo imebeba kusudi la maisha ya mtu
Kwa hio hiki ndio kinamfanya ajute, na so mchezo, kuingiliwa kinyume Kila ijumaa kwa masaa manne, Kati ya saa 4 Hadi 8 usiku ili upate gari na nyumba na Kula vizuri, halafu ukifa vyote vinapukutika!!!Kwa mujibu wa chatGpt " Kumuabudu Mammon kwa njia ya ngono ya lazima (forced or ritualistic sex)—hasa kinyume na maumbile—ina maana mtu anadhihirisha unyenyekevu wa hali ya juu kwa pepo huyo, kwa kumruhusu atawale hata mwili wake"
Leo hii nimeuza roho yangu kwa pepo wa uchoyo na ubinafsi( demon of greedy( mammon ) kwa ajili ya Mali na pesa .
Najuta Sana nimeiponza nafsi yangu kwa ajili ya tamaa zangu.
Msaada kwa wanaoweza kunitoa huku na teseka sana ,maisha na nilivyotarajia
daah nataman mkuu Tundazuri aje atie neno lake la ubani apaKwa hio hiki ndio kinamfanya ajute, na so mchezo, kuingiliwa kinyume Kila ijumaa kwa masaa manne, Kati ya saa 4 Hadi 8 usiku ili upate gari na nyumba na Kula vizuri, halafu ukifa vyote vinapukutika!!!
Na bado ameanza uzi kwa kimtukuza shetani badala ya kumlaani, hapo hujafikiria kwenda jehanam milele!!!
Ukifanya dhambi anaipata roho yako kwasababu utaenda motoni.Sijaelewa "shetani hawezi kununua kitu anachoweza pata bure" una maana anaweza kupata your soul bure??how??nipe elimu mkuu
Labda wewe ndio hujaelewa,to sell your soul na kutenda dhambi ni Jambo moja??Ukifanya dhambi anaipata roho yako kwasababu utaenda motoni.
Namba yako ya kiroho unaifahamu?Kwann mnapenda utajiri wa mateso kwa kuingia mikataba na majini wakati unaweza pata utajiri kupitia malaika bila masharti cha muhimu umjue malaika wako wa utajiri ni nani kupitia number yako ya kiroho ni ipi kila mtu duniani ana code number yake ndiyo imebeba kusudi la maisha ya mtu
Pole sana.Hail lucifer,shemhaforash,
Leo hii nimeuza roho yangu kwa pepo wa uchoyo na ubinafsi( demon of greedy( mammon ) kwa ajili ya Mali na pesa .
Nilitumia kitabu cha VILE OF DARKNESS na vitabu vingine vya grimoire.
Nimekula kiapo cha damu (" nitamtumikia kaskazini na kusini ,mashariki na magharibi ,maisha ya sasa na ya bandage, kwa kujua kwangu na kutokujua kwangu ,..............")
Sitoweza kusema yote kwa ajili ya viapo vyangu .
Najuta Sana nimeiponza nafsi yangu kwa ajili ya tamaa zangu.
Msaada kwa wanaoweza kunitoa huku na teseka sana ,maisha na nilivyotarajia
mkuu usichoelewa nn adi apa? mnataka jamaa afunguke vp zaidi ya apa? mbna kashaeleza apa kuna mambo ma3-kusinya mkataba wa siri kuu, hlf utekelezaji unaanza chap ndoapo mambo ya kufokoana yanafanyika bila hila wala chuki hlf bdae ghafla bin vuu nawew unajikuta unasukuma ndinga za hatare kama yule jamaa jina lake linafanana na munguupendo. bado ujaelewa kiongozi?Nahitaji kutambua ukweli zaidi
Tafuta walimu wa kiroho sio wa kidini watakupa shule ule kwa mrija usikosee njiaNamba yako ya kiroho unaifahamu?
Umeitumia vipi katika kufanikiwa na umewezaje kuitambua?
Sijui umesoma grimoire gani
+5
Arthur Edward Waite is a prominent figure in the history of grimoires, particularly his work "The Book of Ceremonial Magic," which synthesizes and analyzes various famous grimoires. This book, originally titled "The Book of Black Magic and of Pacts," attempts to provide a coherent understanding of Western occultism and ceremonial magic, including the history, theology, and practical details of various grimoires.
Basi inatosha uko siwezi ingiamkuu usichoelewa nn adi apa? mnataka jamaa afunguke vp zaidi ya apa? mbna kashaeleza apa kuna mambo ma3-kusinya mkataba wa siri kuu, hlf utekelezaji unaanza chap ndoapo mambo ya kufokoana yanafanyika bila hila wala chuki hlf bdae ghafla bin vuu nawew unajikuta unasukuma ndinga za hatare kama yule jamaa jina lake linafanana na munguupendo. bado ujaelewa kiongozi?