Nimeumizwa kujiunga na JKT.

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,857
Watanzania mimi ni kijana wa miaka 21, Elimu ni form four 2012. Wakati mimi nasoma malengo yetu mimi na rafiki yangu yalikuwa ni kujiunga na jkt.
Kwa maana hiyo baada ya kihitimu nikafanya mipago ili niweze kujiunga na jkt.
Matokeo yake nikapata mtu ambaye yuko jkt. akaniomba laki sita, wazazi wakaamua kumpa zile hela .
Matokeo yake sikuenda hata jkt. Watanzania kwa atakuwa tayari kunisaidia kuigia jkt na siyo kwa kutoa hela mm naomba tuwasiliane kwa email daudkipara@gmail.com
lakn kwa sasa niko kwenye makampuni ya ulinzi.
Asante sana
 
Kuamliza kidato cha nne sio kigezo cha kuingia jkt,unaweza ukawa hata na divsion 1,2,3, lakini usipate nafac na wala usitegee kuhonga kama njia ya kufanikisha malengo yako kijana,utauza mbiz zote zizin lakini usifanikiwe,enterview inaangalia mambo mengi mfano,damu,magonjwa mengine,ngoz,vyeti,umri, macho,masikio,meno n.k
 
Hata interview sijafanya mimi.
 
Hata interview sijafanya mimi.

Hata hivo sio lazima uingie jeshin,kama unaona maluweluwe jichangane mahala pengine na maisha yaendelee,ama kama vip kaongeze elimu kwanza maana kule nako siku hizi wanazingatia sana elimu pia,tofauti na hapo utasema ndio afande mpaka unastaafu
 
Hata hivo sio lazima uingie jeshin,kama unaona maluweluwe jichangane mahala pengine na maisha yaendelee,ama kama vip kaongeze elimu kwanza maana kule nako siku hizi wanazingatia sana elimu pia,tofauti na hapo utasema ndio afande mpaka unastaafu

Na umri pia unamatter.
 
PCCB si wanapita humu? Huyu daudi kipara kakiri mwenyewe kutoa rushwa, maadili yanaharika kuanzia kwenye ngazi ya familia. Mtu kama huyu akiingia jeshini ndo anakuja kafanya mambo ya ajabu ajabu kama yule bwana tulisikia ana Trillion tatu kwenye account yake.
 

Kwa nini usiende pale Makao Makuu ya Jeshi Mlalakua pengine wanaweza wakakusaidi angalau kwa ushauri juu ya nini unatakiwa ufanye?
 
Huyo aliyekuibia laki 6 ni mwana-JKT pia? unaweza kunipatia namba zake za simu na majina yake?, ilikuwajekuwaje mtu anakutaka utowe laki 6 ili kujiunga na JKT tu?
 
Hufai kabisa
nani kakwambia kujiunga na jkt ni sawa na chuo cha ualimu unatafuta mtandaoni
 
Kaka,
Ungefanya kujiunga kwa style ya kujitolea ambapo baada ya mafunzo ndio wanaweza kufanya consideration ya ajira. Rafiki yangu mimi alijiunga na mafunzo ya kujitolea na baada ya kuhitimu kwa sasa wapo jkt kambi ya Morogoro ambapo wameambiwa taasisi kama jeshi la wananchi, polisi na usalama wa taifa wataenda kuwafanyia usahili pale kwa maana hiyo basi mtu anaweza akabahatika mojawapo ya taasisi na kwa wale ambao wana connection basi utakuta wanafanyiwa mchakato wa kuingia JWTZ. Usikate tamaa kaka, kama wakitangaza tena nafasi za mafunzo kwa wanaojitolea basi utumie fursa hiyo kwenda kujiunga.
 
Aise umetowa rushwa na namba yako ya cmu umetoa ni ushahidi tosha..sasa badala ya kwenda jkt utakwenda lupango..nyambafu!
 

MZEE KIPARA na MKEWE(WAZAZI), WEWE MWENYEWE DAUDI KIPARA,NA UYO KIJANA WA JKT,
mme enda
kinyume na kifungu cha sheria namba 15

kifungu kidogo namba 1A
cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa na

kifungu namba namba 11 ya Mwaka 2007.

HAPO MME COMMIT MAKOSA MATATU:
1. KUSHIRIKI MCHAKATO WA KUPOKEA RUSHWA
2. KUSHIRIKI KUTOA RUSHWA
3. KUWEKA NIA YA KUTOA RUSHWA UKU MKIJUA KABISA KUFANYA IVYO NI KOSA.

SASA BASI KWA SABABU NA NAMBA YAKO UMETUPATIA, BILA SHAKA HIYO NI KAZI YA TAKUKURU,

KUHAKIKISHA WANAPATA KUWAWEKA KTK MIKONO YAO ILI MSAIDIE UCHUNGUZI WA SUALA ILO.

MTAALIFU NA MZEE KIPARA KWAMBA ANATAKIWE AKAJISALIMISHE TAKUKURU

KUPISHA UCHUNGUZI WA ILO SWALA UNACHUKUA NAFASI YAKE
 
Hahahahahahahahahaaa acheni kumtia tumbo joto bana
 

kuna nafasi wametangaza,jaribu kuiangalia.www.jkt.co.tz
 
futa namba yako jf inakusanya watu wengi wa kada mbalimbali, itatafutwa jina lako na malalamiko dhidi ya jeshi hutafanikiwa hiyo nafasi miaka buku..assume umepata kitengo ukikumbuka ulikipata kwa laki sita, mtu akija utamtoza shngapi? rushwa itaisha tz?
 
Dah,huyu dogo naona mpaka amechanganyiwa maisha magum hajui kuwa hiyo 600k ni rushwa.
 

Hahaaahaaaaa umenifurahisha sana aiseee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…