Mbigirikavu
Senior Member
- Aug 19, 2022
- 101
- 118
Na mkomeeeeeeePamoja na droo ya 1-1 singida big stars vs simba sc, na yanga kuwapiga waarabu waoga wa Tunisia, ukweli ni kwamba matokeo ya mamelody Sundown ladies 1-0 simba queens yameniumiza mara mia ya yote yaliyotokea jana. Yaani natamani mechi irudiwe.
a kutolewa. Nawaombea ushindi kwenye mechi yao ya mwisho ya kutafuta mshindi wa tatu.
Kukomaje wakati tunatafuta ushindi wa tatu.Na mkomeeeeeee
Kwani Mimi ni nani?Kukomaje wakati tunatafuta ushindi wa tatu.
Wewe umekomea wapi?
Walionyesha uwezo mdogo sana.Pamoja na droo ya 1-1 singida big stars vs simba sc, na yanga kuwapiga waarabu waoga wa Tunisia, ukweli ni kwamba matokeo ya mamelody Sundown ladies 1-0 simba queens yameniumiza mara mia ya yote yaliyotokea jana. Yaani natamani mechi irudiwe.
Hata kama refa kapendelea mamelody, hakuna cha maana kitakachofanyika cha kuinufaisha simba queen.
Pongezi Kwa simba yote, namaanisha yote, hakuna wa kulaumiwa. Mabinti wamefanya kila wawezalo na tumeona walivyopambana kwa jasho na damu, na hapa ndipo panaponiumiza zaidi. Sina cha kulaumu kuanzia uongozi, bench la ufundi, wachezaji na mashabiki.
Labda ushauri wangu kwa kile nilichokiona ni kwamba, mamelody walikuwa na energy kubwa, na simba waliingia na style yao ya kasi na nguvu ambapo kipindi cha pili walionekana kuzidiwa kidogo.
Labda wangeanza na mchezo wa kutunza energy kwa kupiga pasi fupi eneo la katikati badala ya pasi ndefu ambazo zilikuwa na rebounds nyingi na mipira kurudi haraka kwa mabeki.
Lakini yote kwa yote nimehuzunika kutolewa. Nawaombea ushindi kwenye mechi yao ya mwisho ya kutafuta mshindi wa tatu.
Sio kweli. Waliupiga mwingi, ila waswahili tuna msemo wetu "" ukijisifu una mbio........""Walionyesha uwezo mdogo sana.
Wewe uliyesema tukomeeeeee.Kwani Mimi ni nani?
Nimeumia leo, huko mbele sitajii maumivu kama haya. Naiona mbali sana simba queensNa utaumia sana tu.
Pongezi Kwa simba yote, namaanisha yote, hakuna wa kulaumiwa. Mabinti wamefanya kila wawezalo na tumeona walivyopambana kwa jasho na damu, na hapa ndipo panaponiumiza zaidi. Sina cha kulaumu kuanzia uongozi, bench la ufundi, wachezaji na mashabiki.Pamoja na droo ya 1-1 singida big stars vs simba sc, na yanga kuwapiga waarabu waoga wa Tunisia, ukweli ni kwamba matokeo ya mamelody Sundown ladies 1-0 simba queens yameniumiza mara mia ya yote yaliyotokea jana. Yaani natamani mechi irudiwe.
Hata kama refa kapendelea mamelody, hakuna cha maana kitakachofanyika cha kuinufaisha simba queen.
Pongezi Kwa simba yote, namaanisha yote, hakuna wa kulaumiwa. Mabinti wamefanya kila wawezalo na tumeona walivyopambana kwa jasho na damu, na hapa ndipo panaponiumiza zaidi. Sina cha kulaumu kuanzia uongozi, bench la ufundi, wachezaji na mashabiki.
Labda ushauri wangu kwa kile nilichokiona ni kwamba, mamelody walikuwa na energy kubwa, na simba waliingia na style yao ya kasi na nguvu ambapo kipindi cha pili walionekana kuzidiwa kidogo.
Labda wangeanza na mchezo wa kutunza energy kwa kupiga pasi fupi eneo la katikati badala ya pasi ndefu ambazo zilikuwa na rebounds nyingi na mipira kurudi haraka kwa mabeki.
Lakini yote kwa yote nimehuzunika kutolewa. Nawaombea ushindi kwenye mechi yao ya mwisho ya kutafuta mshindi wa tatu.
Yaani Yanga imecheza michezo 8 tu halafu inaongoza ligi dhidi ya timu zilizocheza mechi 9 na mechi 10!Endelea kuumia tu na nakutakia maumivu mema
Kwa mwendo huu Yanga anachukua ubingwa mapemaa kabisaYaani Yanga imecheza michezo 8 tu halafu inaongoza ligi dhidi ya timu zilizocheza mechi 9 na mechi 10!
Hizi sasa ni sifa.
Yaani anataka kuwa Bingwa kwa mara ya pili mfululizo!!!
Uliangalia mpira wa jana wa simba queen?Wale ata warudiane pale Bunju, Simba queen watafungwa tu. kwenye ubora wa timu wametofautiana sana, unachoweza kusema hongera Kwa Simba queen Kwa kufungwa goli Moja ni fair results kwao.