Nimeumia sana

hahaaa mkuu huenda uliongea kitu kibaya mzuka ukakata, nahisi ulimwambia ana kiba100
 
Shukrani mkuu ur kinda goodguy nimekupenda bure

am better here
Ohoooooo umeanza kunitia mbichwaa,
nitazidisha mashambulizi uko ndani ukoooo

Mara ghafla watu waseme umekimbilia wapi !!

Embu usinipe mbichwa ,niende polepole
 
Hahaha hatari mkuu

am better here
Bora tu uendelee kutunza nakuhifadhi siri zetu, hata sisi ktk Afya kuna ile tunasema "Patient's Privacy and Confidentiality"

Tulinde..... Usitusemeeee , umetufanya tuwe wagonjwa wako
 
hahaaa mkuu huenda uliongea kitu kibaya mzuka ukakata, nahisi ulimwambia ana kiba100
Hapana cna huo ujasiri wa kumwambia mwanaume anakibamia....

am better here
 
Hapana cna huo ujasiri wa kumwambia mwanaume anakibamia....

am better here
sasa umefanyaje mkuu maana mmeandaana then ghafla jamaa akavaa akasepa! au kuna dem alikua anamfukuzia kitambo ghafla sms ya kukubaliwa plus apointment ikaingia
 
Ungeweka hata vidole tu japo ujipapase papase na kuvizungusha hapo kunako tumbua ndugu
 
Hahaha mkuu sawa

am better here
Eeehh Polepole ndo inakuaga yenye kula Minofu na vilivyonona, na unakula bila haraka ,kijaasho kinakutiririka tu...

Siunaona ata uyu polepole wa sisiem? Saiz kanakula mema ya nchi tu adoado.

Nachokataa ni kungoja... Ukinijibu ngoja ,nasepa
....... Heri Kufukuzia polepole ukiwa natumain lakula mzigo...kuliko kungojeshwa bila uhakika wa mzigo
 
Hahaha mkuu daah ni kweli kabsa

am better here
 
Me atasijui kabsa
sasa umefanyaje mkuu maana mmeandaana then ghafla jamaa akavaa akasepa! au kuna dem alikua anamfukuzia kitambo ghafla sms ya kukubaliwa plus apointment ikaingia

am better here
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…