Nimeumia sana: mke wangu kamsifia baba kele eti anamtunza vizuri mke wake.

Aisee pole sana kaka najua uchungu unao usikia .nimkubwa sana ukilinganisha maidha makeo anayo yataka na unayo yataka ..na anavio vitaka na unavio wezakumpa nitofauti ..ndugu yangu vumilia sema kua mkarimu kwamkeo .napia umueleweshe maisha hayafanani wengine wapiga dili wengine wafanyakazi wengine (MAJAMBAZI ) wengine maboss wengine waajiriwa ..wwngine wapangaji wengine wenye nyumba ..sasa linampo kuja swala La kumpa pesa inategemea hatakama UNAZO LABDA UMESHA ONA MUISHO WA MWEZI UNAKUJA NA HAUNA MPANGO WA KUPATA NYINGINE kwahiyo inabidi umueleweshe yakua mipango ya hapo kwenu na ya huko kwanza babakee nitofauti ..? Hata wachezaji Wa mpira hua wana chezea timu moja lakini vipato au mishahara ni tofauti
 
Kwakweli mkuu inauma maana atayeye sio mgeni kwa maisha tuliyonayo ila nitsjitahindi kumkontuloo
 
we pumbafu sana....unampiga mkeo...........huna adabu kabisa........ulipaswa kufunga mlango na kumkaza mpaka afike...ni mke wako unapaswa kumfikisha...haki yake......ukimaliza unampa hiyo hela.....unakosaje pesa ya kumpa mkeo.....bwege wewew
 
Wacha ujinga kwanza wewe ni me au ke nakama ni ke sishangai
 
Back
Top Bottom