Nimeumbuka jamani!

safi sana dume la mkoani umewakilisha, achana na wapaka mikorogo wa daslam kazi kuibiana loshen na dada zao.
 
tunakula vya asili ( michemsho) ndo maana minguvu ya kiume mingi na sio mafuta ya transformer kwenye vihepe vya vijana wa daslam.
hata mimi nakula hivyo vya asili na nina miguvu kuliko ya za kwako jumlisha na za babaako [emoji41]
 
Hiyo ndo tofauti ya waMkoa na waDar
 
safi sana dume la mkoani umewakilisha, achana na wapaka mikorogo wa daslam kazi kuibiana loshen na dada zao.
True dat. Dogo katoka kupata msosi wa uhakika and he is ready to go. Ingekuwa hawa wanaoshindia chips na mahindi yaliyopakwa ndimu angekuwa amelegea na kuvuta midomo kama huyu dogo hapa chini. Hongera kidume cha bara kwa uwakilishi uliotukuka!
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…