Mgegedo yani ndiyo kbisa nikifikiria nachukia mara 10 hautaki kabisaaaaa
evelyn salt kuja hapa nadanganywa mchana hivi
Nenda India...
Husninyo mpe mgonjwa address
evelyn salt kuja hapa nadanganywa mchana hivi
hahahhhahhahaa akapasuliwe moyo dah wewe mwana utanivunja mbavu
Moyo ukasafishwe utakuwa umeingia kutu...
Moyo ukasafishwe utakuwa umeingia kutu...
atumie stili waya ya kuosha masufuria maana umekua sugu