Nimeulazimisha moyo wangu umekataaa

Nimeulazimisha moyo wangu umekataaa

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1,044
Reaction score
675
Habari za wakati huu
Jamani mie katika vitu nlivyojaribu kuulazimisha moyo wangu na umekataa ni kujilazimisha kumpenda mtu cjui n kwa nn jaman moyo wangu kwa nini unanifanyia hivi?umekuwa mgumu hata pale nnapoutaka umpende mtu kwa kujilazimisha umekataaa kabisa,,kwa nini inakuwa hivi?why moyo wangu upo hivi?
 
Si kwasababu hujaamua kupenda,na unajua yupo anayempenda ndo imekuwa ngumu kupenda mwingine.
 
hata mgegendo nao umekataaa
sema ukweli mungu anakuona
 
Yawezekana unamtoa kasoro nyingi huyo mtu nakumwona siyo type yako Au kuna mtu ambaye wewe unampenda halafu haeleweki yaan unaona huyo anakuzingua tuu
 
utakua unaendana na diamond kidogo ila yeye moyo wake unapenda hovyohovyo..india wana tiba mujarab ya tatizo lako
 
Back
Top Bottom