Nimetumiwa Faida Na Vodacom M-Pesa

Mimi wamenitumia Tshs 16,650/= ilikuwa Tarehe 27/07/2015 alafu wakatuma sms nyingine kuwa hiyo ni faida ya Mpesa kama hutaitaji unaweza irudisha Voda Foundation au ukaitumia kwa watoto yatima, Baada ya kupokea hiyo sms niliwahi fasta kwenda kitoa, sasa kila siku ikifika saa nne asubuhi wananitumia Tshs 230 eti ni faida ya Mpesa Faida sijuhi wanatumia vigezo gani,Ila mimi laini yangu ya Voda natumia sana kwa Mpesa Kwa mwezi hata Mihamala Zaidi ya 80 inafika
 
Mie walianza tigo walinitumia gawio baada ya siku mbili voda nao wakanitumia, but ya gawio la voda ni kubwa kuliko gawio la tigo pesa, nawashukuru japo wanatuibia sana
 
sijui mimi wananirushia lini ?
ingawa mimi ni mzee wa kutuma tu situmiwagi na mtu.
 
Mimi hawajanitendea haki, faida ilitakiwa iwe angalau 1000,000
 

Attachments

  • 1438777312306.jpg
    1438777312306.jpg
    44.6 KB · Views: 258
Back
Top Bottom