Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,661
- 184,081
For emphasis hahaha .
Asante sana naona mwisho umekazia kama kwenye ule uzi ulotoa. Safi hiyo
Cc Smart911
Asante sana naona mwisho umekazia kama kwenye ule uzi ulotoa. Safi hiyo
Cc Smart911
What is hela ya nauli by the way? Mi huwa sipokei hela ya mwanaume kiboya. Mafuta full tank muda wote kwa bill yangu. Meal and accommodation nalipa. Unapilipa gharama una gain nguvu, mamlakà na ushawishi.
Wanawake tutafute elimu na pesa, ndio njia pekee ya kuwashinda wanaume