Nimetumia ukauzu leo kwa bibie

Nimetumia ukauzu leo kwa bibie

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
723
Reaction score
569
Wakuu, wakati mwingine hawa viumbe wanazingua sanaa... Nanena kwa jaziba #***#

Eti tangia weekend iliyopita alikuwa ananipigia simu kunambia kaMiss kitu na box na mimi hivyo tupange muda, Siku hiyo akanicheck kabisa kwa simu kusisitiza kama mimi nachelewa kupanga siku basi apange yeye...

Leo sasa nimeomba hadi ruhusa kwa boss, ili nikutane naye, na nauli nikamtua tena KWA maana alinambia ana mishe za kupitia mjini asubuhi nikamuongezea na cha juu...

Dadesi baada ya kutuma ananitumia msg eti nikitoka kazini nimshtue aanze kujiandaa maana ameamka anasikia maumivu kwenye mshono "" kwanza nikachrka nikaona hii kamba...

Kidume nikampigia hapo tayari nishatoka job, nikampa pole na kumuuliza huo mshono umekuwa nao tangia lini wakati kila siku tunapekuana na sijaona sehemu umeshonwa?? Akawa anacheka cheka...

Alivyokata tuu simu nikawapigia Operators wa simu waweze kurudisha muhamala wangu wakasema keshatoa huyoo...

Hapo ndipo nikafura dadesiii nikampigia kwa mara ya pili kuwa anitumie iyo pesa nina shida nayo sanaa halafu nitamtumia kesho kama ilivyo...

Kanuna Ila Karudishaa, LEO NIMEFANYA UKAUZU KWA HAWA VIUMBE
 
Inaonekana amekuzoea vibaya sana yani mpaka ana cheka cheka wakati uko serious
 
Inaonekana amekuzoea vibaya sana yani mpaka ana cheka cheka wakati uko serious
aseeee acha tuwe wakali....hawa wanawake kwanza inabid age gape liwepo lakutosha...hapo unaweza kuta wamepishana miaka chini ya mitano...

hata ukali wa simbaa hausikii..kuna mda wa kuw utani na kuna mda wa kucheka..

hivi mi ntoke job kwa ruhusa afu akenue utani...

kwanza mimi siku akiwashwa akitaka mkuno ananipitia yeye kazini ntaaga nina udhuru ila lazma aje akae sehem nearby japo dak 10 anisubir...siwez toka nikawa naenda sehem ya tukio bila tukio lenyewe...

yan tupo njiani mixer namwambia hali halisi uwo moto wake ukooo
 
What is hela ya nauli by the way? Mi huwa sipokei hela ya mwanaume kiboya. Mafuta full tank muda wote kwa bill yangu. Meal and accommodation nalipa. Unapilipa gharama una gain nguvu, mamlakà na ushawishi.
Wanawake tutafute elimu na pesa, ndio njia pekee ya kuwashinda wanaume
 
What is hela ya nauli by the way? Mi huwa sipokei hela ya mwanaume kiboya. Mafuta full tank muda wote kwa bill yangu. Meal and accommodation nalipa. Unapilipa gharama una gain nguvu, mamlakà na ushawishi.
Wanawake tutafute elimu na pesa, ndio njia pekee ya kuwashinda wanaume
naamini utakuwa unasema haya kwa upande wa uchumba...maana walioolewa hawawezi kukusikia..

mfano: nilioa na kipato cha 1.2k mke wangu 500k...kila kitu nilikuwa nalipa mimi..chakula ndani umeme maji sijui kila kituu..akiona ana hela ya kununua kitu ambacho kilikuwa hakina uhitaj wa haraka ndani..mfano kuna dstv na azam..afu kuna ukorea zuku basi akitaka kingamuzi cha zuku ndo hapo atanunja yeye tena kwa kuomba ruksa ambayo ipo kwenye mfumo ya taarifa kuwasilishwa..akitaka mashedo ya oriframe atanunua..ila mimi basics nanunua mafuta dawa mswaki lotion...

mwanamke hela yake yake tuuu haina mahesabu na ndo maana akiwa ndani ya ndoa anateleza tu...so hata izo unazosema apo zina apply ukiwa single..ndoa mamaa hata gari iwe full tank kwangu saa 2 uwe ndani kama huna ruti ..hata uwe full tank nikikuhitaj upite sehem ntakupigia mahesabu ya uchakavu ntakupa hela ya wese kuongezea...hata uwe full tank nikiona nimetingwa nitakutumia hela ya kukuagiza na vitu na mafuta ntakutumia
 
Huyo ni demu wa badoo au ni mpenzi wako wa siku zote? Mimi ninsingerudisha ng'o
 
Wazo la kwanza linalokuja ni "ni ushaingizwa mkenge..." Lakini kwa nini wasiwe wa kwanza kufikiria impact ya kughairisha mipango??? Inaleta hasira na roho ya ukatili kwa sisi wanaume

Jamaa noma sana huyuu...!! Me kuna mmoja nilimtumia akaanza hajibu msg wala kupokea txt.. Nkajua hapa nishaliwaaa sema kama una hasira za karibu ooho
 
Wewe unasema tu... Ila Tambua Hakuna Kitu Kibaya Kama Kumuharibia Mtu Ratiba Yake Ya Siku, Ndio Maana Hata Unapovunja Mkataba Kuna Malipo Flani Ya Kufidia Yanafanywa

Huyo ni demu wa badoo au ni mpenzi wako wa siku zote? Mimi ninsingerudisha ng'o
 
Wewe unasema tu... Ila Tambua Hakuna Kitu Kibaya Kama Kumuharibia Mtu Ratiba Yake Ya Siku, Ndio Maana Hata Unapovunja Mkataba Kuna Malipo Flani Ya Kufidia Yanafanywa
Kiukweli hiyo tabia hata mimi siipendi, mimi ukitaka tukosane ufanye mchezo wa kunipotezea muda namna hiyo ila kurudisha hela umekuwa kauzu duuuh
 
Back
Top Bottom