Habari zenu?
Kuna dada nilimtongoza muda mrefu karibia miaka mitatu sasa lakini mpaka sasa sijaona kitu. Tokea mwanzo alikubaliana na ombi langu, ila utekelezaji wake umekuwa mgumu.
Kuna kipindi nilipanga kuachana nae lakini baadae nikamtafuta mwenyewe.
Sihitaji kuoa na yeye analijua hilo kama haliwezekani. Naombeni ushauri namna ya kuachana nae, binafsi kama nimeshindwa.