Nimetokewa na mauza uza kazini kwangu, naomba ushauri

Bado sijakuelewa yote. Nimekuelewa kuwa kumbe duka lenyewe ni kibanda cha Mpesa.

Sasa nakuja hapo uliposema Mwanamke anauza, anauza nini na wewe ndio unakuwa na simu za Mpesa? bidhaa yote ya duka lako unatembea nayo.

Naa nani aliyemuona huyo mwanamke? ni mtu mmoja, wawili, watatu? frequency yake? anaonekana kila ukienda kula au hata ukiwepo? yeye anaonekana wewe huonekani?

Hadithi njoo, utamu kolea. Umeona eeeeh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom