Nimetokea kupendwa na malaya

Mkuu kwani wasiwasi wako ni nini?Huyo ndo anyekufaa.Au unataka ambaye unampenda ila hakupendi?Kwa jinsi unavomuelezea inaonekana unampenda na unamuelewa sana so naona inafaa kabisa
 
Kua na mahusiano mengi haimaanishi hawezi kupenda. Na saa zingine zinakuaga stori tu kumbe mtu yupo tofauti. Au kama vipi muulize kwamba kwanini anakuaga na tabia fulani uskie atajibuje
 
Huyo achana nae, ni bomu linalotafta pakulipukia. Kama angekua amekupenda hio miaka 10 b4 angekua ashakwambia au kutengeneza mazingira enzi hizo wanawake hawawezagi kujivunga kama wanaume. Alafu isitoshe Tulikubaliana "mwanamke mwenye mtoto hafai".
 
Wanawake malaya wanafanyiaga ushenzi sehem A then wanaenda kutafuta ndoa sehem B

Take care
 
Oya wanaumee, hebu tutumieni akili zetu. Sasa ivi kila kitu mwanaume anaomba ushauri. Jamani tunashindwa ku settle mambo madogo kama haya!
 
Chai
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…