Kwanini mkuu? Kwani pesa ndo inapenda? Naomba maelezoTafuta pesa kwanza
Habari zenu wana jf, kwakweli leo nimeamua kuvunja ukimya, tangu nianze kutumia hii forum, nimegundua kitu kimoja kuwa watu wengi(almost 98%) wanatumia picha na Id fake. Lakini hilo halikunizuia mimi kuona maono.
Historia fupi,
Mimi naitwa xxxx, nilzaliwa Kigoma-kasulu, kwa sasa nipo UDsm-muce Iringa, Nasoma BSc, ed, Phy&Ch third year.
Mwaka 2016 ndo nilijiunga jf nikijua ni kama fb ambapo watu huwa wanaexpose face zao na names pia, lakini si hivyo. Ndipo nilipo vutiwa na mdada/m-mama mmoja anajiita miss chagga.
Kusema ukweli sijawahi kumuona wala kuwasiliana nae, lakini jina lake linaniaminisha ni bonge la cute, na nimeweka ahadi ya kufunga nae ndoa. Nina 25yrs old.
Please wana jf nisaidieni kumpata huyu KE ili niulidhishe moyo wangu.
. . . Nawasilisha....
WIDAJAMU
Nimekuelewa madam, lakini bas aje atoe japo neno, moyo wangu ulidhike japo kidogoEmbu soma kwanza na wewe jamani ... Miss chaga kama zari vile anaangalia sehemu zenye fursa ... Kijana ndio kwanza bado unasoma hata hela ya kumhamisamobeto na rav4 [emoji594][emoji594][emoji594] huna ... Mkono mtupu haulambwiii kwa Miss Chaga mkuuu....(just joking)
Ndo nahitaji walau hata neno moja kutoka kwake, jaman hii dunia nitaishije bila kuwa na miss chagga? Acheni hizo jamani naombeni msaadaKaza mwanangu ngangangaaa mpaka kieleweke maana umetoa ya moyoni ujue,labda mwenyewe aseme hapana ndio unyooshe mikono juu [emoji23][emoji23]
Mkuu hapa ninao wengi but for Discussions only, but I need Miss Chagga as my future wife.Duuh ni bonge la mtu na huo mkopo wa chuo wote utaishia kwenye vocha Tu,
Ushauri hapo mkwawa university college of education, ruaha catholic au nenda tumaini university kuna watoto wazuri tena uzuri hapo mkwawa wote ni prospect teachers najua life itakua poah zaidi.
Huku utaliwa hela zako Tu na hupati kitu.
Mkuu tumia kauli nzuri, ndo maana naomba msaadaWewe ni domo zege? Kama ulionao chuoni tu wamekushinda huyu wa duniani utamuweza?
Hata kama mkuu, but most important an-accept tuDogo una HELA? i don't know Miss chagga in person but najua lazima awe anapenda HELA
Potelea mbali bora niwe mkweli Coz nampenda toka moyoni hata kama atanikataaWIDAJAMU umekosea kujitambulisha kwa haraka, kuna muha dadangu miss chagga alimkataa sababu ni bahili sana, sasa sijui kama atakubali muha tena jaribu tu