Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
-
- #41
endelea kujifanya mbabe JF,lakini naamini na nina uhakika ukikaa Mahabusu siku moja tu utapungua uzito wa kilo 20 na kujuta kwa lugha zote,nimekushauri na kukuonya,acha tabia ya kurusha ngumi kwa chukizo dogo tu,time will tell
Wajomba wanaboa sana hawa madalali.
Kuna siku naenda njombe wakanikatia tiketi elf 39 nikasema poa kwavile nimekaa mjini mda mrefu nauli itakua imepanda kufika kwenye gari konda akaandika kwenye ticket elf 25[emoji1787] Aloo moto uliwaka pale nikamwambia kinda andika pesa niliyolipa iende Kwa boss au la rudisheni ela yangu[emoji23] ama niende polisi ikabidi wanirudishie 11k maana nauli ni 28 ilikua
Madalali wa pale wanaleta sana yaani wanakufuata na kukuukiza maswali gta ukimwambia huendi huko bado anafosi kukuukiza mahali pengine unaonda kama kwamba wewe hujui kitu. Mimi nilishawahi kumjibu naenda Qatar.
Sikupingi 😂Hili bandiko ni la wazungu, wenzetu ni maneno, sisi ni vitendo kama ilivyotokea kwa jamaa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Madalali wa pale wanaleta sana yaani wanakufuata na kukuukiza maswali gta ukimwambia huendi huko bado anafosi kukuukiza mahali pengine unaonda kama kwamba wewe hujui kitu. Mimi nilishawahi kumjibu naenda Qatar.
Afu ikisema unaenda unakoenda,unapelekwa ofisin wanaongeza buku 2000 yakumlipa huyo dalali
Mkuu pole mm ndio ulinipiga
Maumivu makali na aibuUnajisikiaje now [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah Ilo neno nakiri hata Mimi ningerusha ngumi tena zakutosha, hii ya kuzuia hasira imenishinda.
Mi niliambiwa najikuta wema sepetu wakati nakojoa nimechuchumaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilicheka jamani
Mi niliambiwa najikuta wema sepetu wakati nakojoa nimechuchumaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilicheka jamani
Nilitaka kuuliza hivo pia[emoji23][emoji23][emoji23]Kwaio wema anakojoa amesimama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilitaka kuuliza hivo pia[emoji23][emoji23][emoji23]
Uyo jamaa alidhamiria kukukera asee siyo kwa jibu hilo.