Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,435
Ushaanza kutoa single mfululizo utapotea soon.....ngoja iyo kwanza inayohit upige pesa mzeee.....mtoto wa dada.......
Yani itakua aiseh[mention]Santos06 [/mention] ni kaka angu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nitulie et ee [emoji23][emoji23][emoji23]
Yani itakua aiseh
Pole sana siku nyingine usifanye ivyo ukimya nao ni jibu
Wagonjwa ni wengi kuwa makini,siku nyingine utampiga mtu hivyo ataanguka chini na kifo kitampata hapohapo,mpaka Mahakama ije iambiwe kwamba ulianzwa kuambiwa lugha isiyofaa utakuwa umeshasota Mahabusu Segerea miaka 5,kumbuka hasira ni hasara
Wanakera sana wale jamaaView attachment 2476441