Joined 2021, kwa hiyo miaka yote ulikuwa kama guest member au Id nyingine?Mi nina miaka 12
ID nyingine mkuu zote mbili zipo active, ID ukishafahamiana na baadhi ya members wengine MMU, Jukwaa la siasa haupo huru tena kutoa maoni, ila ya pili una make sure hufahamiki.Joined 2021 ,kwa hiyo miaka yote ulikuwa kama guest member au Id nyingine?
Kweli kabisa, mimi tokea nijiunge sijawahi kuwa na Id mchepuko ila nawaonea wengi wakiwa nazo mfano kuna watu nachati nao kwenye normal theard Pm wanakuja kwa Id nyingine wkt fulani.ID nyingine mkuu zote mbili zipo active, ID ukishafahamiana na baadhi ya members wengine MMU ,Jukwaa la siasa haupo huru tena kutoa maoni ,ila ya pili una make sure hufahamiki.