Nimeteseka sana lodge

ukipata kazi niite umbwa
 
Hii chai, io loji haina ceiling board?
 
Mh.magufuli legeza kidogo, wananchi wako wanakuwa wenda wazimu huku
 
Lodge gani hiyo kiongozi...? Nina hakika kwa uandishi wako huo mkuu wale wanachama walio hai wa CHAPUTA tena wanaosoma Uzi huu wakiwa peke yao vitandani/getoni usiku huu lazima wajilipue..maana huu uandishi ni malidadi umewasisimua mishipa yao ya fahamu na akili imeshuka chini..So watajilipua muda wowote kuanzia sasa tena bila hata picha tutegemee makubwa toka kwao😁..maana wameshatengeneza picha zao kichwani😂😂😂
 
January imekuja na chai pamoja na kahawa bila kashata.
 
Hiyo ni kahawa aina ya Robusta maana Arabica haiwezi kustawi nyegezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…