Nimetendwa jamani


kulia ndio jibu lako la mwisho? kwanini usimtafute huko huko kijijini ili muongee hatma zenu ninyi wawili?

binti salula... life is beautiful with love... mdamkie huyo mchapane ukweli!
 
Last edited by a moderator:
kama kakufanyia hivo siku muhim kama hyo bas jua alishapanga mda na hapo ndo uamuz wake ,so ukijifoc kwake tegemea hata akikubali ,kuna siku utalia tena,sabab kashajua unamganda
 
I just find out he was dating three girls at per and I never suspected that coz kila cku naongea nae,it is shocking
 
Hivi kuna kuumia tena baada ya kuachwa? Nishavaa roho ya paka kama nitaachwa maumivu katu hayatakuwepo.
 
Pole sana dada..kuna mambo ya muhm sana naomb nikusaidie nadhan itakuw ni tiba tosha ya tatizo lako na kuirejesha fraha na aman yako upya.naomb untafute kwa njia h.Kimulo@nokiamail.com
 
Pole .
Lakini Kama we ulivyompenda na ye anatakiwa
Akupende na kwasababu hajaonyeasha anakupenda
Basi mwache aende akatafute atakaye pendana nae .

Sio ridhiki yako ni ya mwingine .
Wa Kwako atakuja tu .

Pamoja na hayo hujui kakuepusha na nini .
Shukuru Mungu . Move on.
 
I just find out he was dating three girls at per and I never suspected that coz kila cku naongea nae,it is shocking

Mapito ya mapenzi...!
Kama yeye sio wa kwanza..., kumbuka uliekuwa nae kabla yake na jinsi ulivyoweza kuachana nae, the same applied to him japo ni kweli kabisa inauma hasa kama unampenda na yy hatambui thamani ya kupendwa..
pole sana mamaee!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…