Mm ni mschana nilitokea kumpenda kijana mmoja sana kias ambacho ckuwah kuhis km naweza kuish bila yy
weka picha tuone ulivyolia...pole
yaani alikabidhi mwili mzima mzima siyo moyo tu hakujua wenzie wanaanzaga hata na ukucha tu, pole sana binti amka futa vumbi maisha bado yanasonga mbele, usijali akunyimaye mbaazi kakunyima mashuzi.Hili ndilo kosa nambari moja wafanyalo baadhi ya wanawake wawapo kwenye mahaba...hukabidhi mioyo yao kwa wanaume.
Amka kutoka katika usingizi uliolala eeh binti
Hili ndilo kosa nambari moja wafanyalo baadhi ya wanawake wawapo kwenye mahaba...hukabidhi mioyo yao kwa wanaume.
Amka kutoka katika usingizi uliolala eeh binti
yaani alikabidhi mwili mzima mzima siyo moyo tu hakujua wenzie wanaanzaga hata na ukucha tu, pole sana binti amka futa vumbi maisha bado yanasonga mbele, usijali akunyimaye mbaazi kakunyima mashuzi.
ndugu yangu sisi wanwake ndo tulivyo tukipenda tumependa bwana hatuna matuta kwenye moyo kama nyinyi wanaume, its nature, once give up our heart we give up our part
Hahaha!! jambo zuri ni kuwa ingali mapema kashajua mbivu na mbichi