Nasikitika kusema hamna software ya namna hiyo... pole sana, kwa akili yako unadhani kampuni ka facebook wakijua software ipo ya kuhack password zako unadhani hawatoichukua waistudy then wablock technique inayotumika??
nasikitika kusema hamna software ya namna hiyo... pole sana
kwa akili yako unadhani kampuni ka facebook wakijua software ipo ya kuhack password zako unadhani hawatoichukua waistudy then wablock technique inayotumika??