Nimetaftiwa mchumba ambae alikuwa dem wangu!

wakati mwingine tatizo la uelewa likitukuta tunasingizia stori ya uongo.demu aliachwa na jamaa kwa sababu aligawa utamu kwa rafiki yake. hapo hakuna demu waeleze waZee ukweli ama peleka mwingine kumtambulisha maana hofu yao n ww n hanithi.
 
Sasa inakuwaje unatafutiwa mchumba mkuu! Hayo mambo ya kizamani sana halafu hiyo ndoa itaongozwa na wazazi!
 
Mie nimeelewa kwamba demu wako alichukuliwa na rafiki yako kwa sababu alikuona wewe hanithi...
 
Waeleze waxazi ukweli kabla hawajakuuolea wakakuletea zigo la miba uhangaike nalo
 
unapindisha nini.. waambie live hapo hamna cha bikra na unamjua fika alikuwa demu wa rafiki yako.. usiseme alikuwa wako!!
 
Heri ya msimu huu wa sikukuu.

Ni mda sasa umepita nyumban wakinilazmisha kuoa lakin mi km sisikii wala kuona vile....
Wanaona umri unaenda bora watumie mbinu za uwanja wa geshi nitafutiwe mke nioe nitake nisitake au kama nna tatizo niseme walitaftie ufumbuzi.
Hahaha sijui wanahis mi sidisi.
Juzi nikaambiwa twende tutoke mara moja baba na mama hao tukajitupia kwenye ndinga...
Njiiiiim njiiiim tukiwa njiani ndo naambiwa bwana mkubwa unajua tunaenda wapi??!!sijui nyie mniambie maana mmenibeba tuu!
Ahaaa mwanangu tunaenda sehem umuone mchumba km atakufaa tuendelee na michakato mingine!!
tunafunga breki mbele ya nyumba ya kina yule dem wng!kidogo niruke nakpiga moyo konde huku kijasho kidooogo kinatoka.
Wameongea paleee mi nipo kimya mara dem akaitwa wala hata hajashtuka wala kujali zaid ya kujifanya anaona aibu!eti jamani dem aliwe na rafk yko kisha muachane then leo upewe hilo zigo huku wazaz wanashikilia kwmba huyo ndo mchumba mzur tunamtaka na ametulia sana na ni bikra!hahahahaha mi nikawaambia sijampenda tuuu..
Hapa leo sijaenda hata hom kw huo mtiti ambao nitaletewa
Huyo manzi mlikua mnapiga wewe na rafiki yako? Mbona husomeki mkuu?
 
Back
Top Bottom