Never UKAWA. It is Magufulika time.kiroho wapo ukawa kimwili wapo ccm hahahahahahah mchana kudumu chama ucku peopleeeeees
Mimi wala siwalaumu, sasa watu hawana kazi za kufanya, wamezoea kuuza sura tu, ukawapa basi la kutembelea bure, pocket money ndefu, gharamaza chakula na malazi bure, kisha wakauze sura jukwaani tu. weweeee hata mimi ningeenda, lakini 25 oct, HAPA Laigwanani tu.
Kuwahadaa wasanii ndiyo kazi pekee mnayoiweza peke yake
Wananchi tumeshaamua rais ni lowasa,kura zote kwa wanaukawa
Weka na picha ya kina mama hospital jinsi wanavyolala watatu kitanda kimoja
Mr Chin
YAani wamesahau juzi tu watu walilalamika sna kuhusu kutumika kwenye siasa afu baadaye kama kopo la chooni 50k kwa siku is nothing dudes
RIP NGWEA