The Infamous
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 731
- 122
kwa nini sasa ulitoa mimba umenisikitisha sana kuua kiumbe kisicho na hatia halafu wasema hadharani loh
nimeweka kijiti cha kuzuia mimba, nikaambiwa ntakutana kimwili na mpenzi wangu baada ya 24 hrs. nikafuata ushauri huo. lakini baada ya mwezi na nusu nikagundua na mimba, ikabidi niende private hospital kupata ushauri, dakitari akasema hukutakiwa kukaa 24 hrs, bali ulitakiwa ukae 10 days, bila kukutana kimwili, kwa sababu nilikuwa sijajiaanda na ujio wa huyu mtoto ikabidi mimba itolewe.
lakini nikamuuliza dakitari, vipi kuhusu hii njiti, nayo nikaitoe au lah, akasema haina shida yenyewe itaendelea kufanya kazi hivyo usiitoe, nikaiacha kwa kufuata ushauri huo, cha kushangaza baada ya mwezi toka nifanye dhambi ya utoaji, nimejigundua na mimba tena...nimestaajabu sana.
nauliza madakitari, shida hasa ni nini hapa, njiti haina kazi, haikufanya kazi au ushauri niliopata haukuwa sahihi, maana mpaka sasa njiti bado ninayo na sijaitoa....
Nimeweka kijiti cha kuzuia mimba, nikaambiwa ntakutana kimwili na mpenzi wangu baada ya 24 hrs. nikafuata ushauri huo. lakini baada ya mwezi na nusu nikagundua na mimba, ikabidi niende private hospital kupata ushauri, dakitari akasema hukutakiwa kukaa 24 hrs, bali ulitakiwa ukae 10 days, bila kukutana kimwili, kwa sababu nilikuwa sijajiaanda na ujio wa huyu mtoto ikabidi mimba itolewe.
Lakini nikamuuliza dakitari, vipi kuhusu hii njiti, nayo nikaitoe au lah, akasema haina shida yenyewe itaendelea kufanya kazi hivyo usiitoe, nikaiacha kwa kufuata ushauri huo, cha kushangaza baada ya mwezi toka nifanye dhambi ya utoaji, nimejigundua na mimba tena...nimestaajabu sana.
Nauliza madakitari, shida hasa ni nini hapa, njiti haina kazi, haikufanya kazi au ushauri niliopata haukuwa sahihi, maana mpaka sasa njiti bado ninayo na sijaitoa....
Unaweza kutumia pia sindano za mzazi wa mpango ila usiamini sana kama unaweza bora utumie period zako au kondom hizi njia nyengine ni plus au minus kila siku utaingia kwa majanga usipoangaliaNimeweka kijiti cha kuzuia mimba, nikaambiwa ntakutana kimwili na mpenzi wangu baada ya 24 hrs. nikafuata ushauri huo. lakini baada ya mwezi na nusu nikagundua na mimba, ikabidi niende private hospital kupata ushauri, dakitari akasema hukutakiwa kukaa 24 hrs, bali ulitakiwa ukae 10 days, bila kukutana kimwili, kwa sababu nilikuwa sijajiaanda na ujio wa huyu mtoto ikabidi mimba itolewe.