Nimesoma pcm,nitafanyaje nisome biology ya a-level? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimesoma pcm,nitafanyaje nisome biology ya a-level?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ruhi, Jul 16, 2012.

 1. ruhi

  ruhi JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,409
  Likes Received: 776
  Trophy Points: 280
  Mimi nimeitimu A-level 2009 kwa kombination ya PCM Minaki High school,ningependa kusoma doctor of medicime baadaye kidogo,sasa nauliza wana ef nifanyeje ili niwezekusoma biolojia pekee kwani fizikia na kemia nilifauli vizuri,japokua kwa sasa nafanya field yangu ya mwisho,mwakani nahitimu bachelar of science in electrical engineering.Jamani naombeni sana msaada wenu wa mawazo ili niweze kufanikisha maono yangu,kuhusu kwa nini sikuweza kusoma PCB sababu kubwa sana ni mfumo wa kubadilisha kombination kuwa ngumu na ndefu sana hasa kutokana na head master mzee KAAYA kutokua mwelewa.
  Naomba kuwasilisha
   
 2. Kadu

  Kadu Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa nini unataka kusoma medicine?Ukitoa sababu nitajua jinsi ya kukushauri.
   
 3. ruhi

  ruhi JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,409
  Likes Received: 776
  Trophy Points: 280
  Ninapenda sana udaktari toka moyoni,pia ninajisikia vizuri ninapookoa maisha ya binadamu.
   
 4. magosha

  magosha JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kajiandikishe kule baraza la mitihani tz ili usajiliwe kufanya mtihani wa biology si unataka uitwe Engineer. Doctor. karibu sana ila usigome watakufanya kama ulimboka.
   
Loading...