Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,063
- 744
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii
RIP Kanumba
Rt Rev Masa
kwani Diana alikuwa na nini spesho zaidi kuwa celeb kama Kanumba?acha kushobokea ngozi nyeupe,unajichoresha kichizi.
Hebu tazama watu walivyo na machungu ya kukaaa bureAngalia productivity iliyopotea leo na kero barabarani kwa mfu!!! Something is missing kwetu watz
ukumbuke na weye umo.Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii
RIP Kanumba
Rt Rev Masa
Unaweza kunisaidia kidogo even if my dead body itazikwa na bara zima la Afrika kuna nafuu yoyote mbele za Mungu juu ya dhambi zangu?
Umefikia uwezo wako wa mwisho kufikiri, huna dila wala mwelekeo ufalme wa mbinguni hauingiliki kwa idadi ya watakao kulilia wala watakaohudhulia msiba wako, bali matendo yako tu. kaeni endeleeni kudanganyana na endeleeni na uzinzi if u think it will help you.
Nafikiri una matatizo ya akili. Hivi unataka kuniambia haujawahi kufiwa. Sisi ni watanzania na jadi yetu ni upendo. Mchango aliotoa Kanumba kwenye jamii ya Tanzania nina imani wewe itakuchukua muda kuufikia. Penye matatizo ushabiki wa kitu chochote unakaa pembeni. Kanumba kafa tunaomboleza. Elewa hivyo
Subiri na wewe siku utakufa au kufiwa watu wakazalishe mali badala ya kukuombolezea au kuomboleza na wewe.Kanumba alikuwa mtu wa watu akiburudisha nyoyo zao hata katika shida na taabu za Watanzania. kutizama Movie zake unapunguza mawazo. Leo ndio siku yake ya mwisho duniani na haikuwa vibaya watanzania kuacha shughuli zao na kuja kumuaga. Ni kawaida yetu kuonyesha upendo kwa kwa kitu tunachokipenda. watu wengine mnajifanya mko serious sana na maisha wakati kuna siku haya maisha utayaacha.
Namuonea huruma mtu yeyote anayetaka kuwa Rais wa nchi hii kwa dhati ya moyo wake ili kumrithi Kikwete maana anakabiliwa kuongoza Taifa lililojaa wajinga kuliko watu wenye akili timamu.Kuna mwingine aliamua akajifungulie barabarani kuliko kukosa kwenda. Huyu nadhani ni zaidi ya ujinga.
kwani Diana alikuwa na nini spesho zaidi kuwa celeb kama Kanumba?acha kushobokea ngozi nyeupe,unajichoresha kichizi.
Wewe ni 0.00032 of 1 great thinker!Mimi nilidhani kuwa hii sehemu ni kwa great thinker sikujua kama ni sehemu ya bwabwaja bila kufikiria out of the box. Mimi naona inabidi kabla ya kujiunga naomba tuwekee kama ka text for great thinker so tusikutane na vitu kama hivi. Kweli wewe ni economist, so unaona kuwa watz wameloose or ni masikini tu kwasababu ya kilio cha kanumba, mbona hujaangalia sikukuu zilipo tz kwa mwaka na uanzia hapo. Na kama ni mtu wa kuangalia kwa upeo nafaa, kazi ya kanumba has to do with economic developmet. Tatizo la watz wanapenda sana kudharua vipaji vya watz wenzao lakini watathamini vya watu wa nchini hasa za wazungu. Yaani wewe nikikujua hata unionge millioni siwezi kukuchagua kuwa kiongozi wangu maana huna tofauti na waliopita. Badala ya kusupoort hii sector perhaps itawapa kazi vijana wadogo na kuepukana na kujihusisha na mambo mabaya kama kuwa vibake au wezi ndio mnasaga. Kweli jamani hii ni uturn blog or what? Kwanini husiangalia kuwa du kumbe watz wanapenda hii sector ya filamu perhaps government might boost it after seeing how many tz were moved by this actor and this mighty lead to creation of jobs for young people?Mfano US, state inatoa exemption kwenye mambo ya film making kwasababu wanajua kuwa their people will get job that will bost state economy. Please think otu of the box we are in the modern world now please! Yaani ningeeandaki mengi tu.
Wewe ni 0.00032 of 1 great thinker!
Hapo yupo nje ya box...Wewe ni 0.00032 of 1 great thinker!
hata hao walioenda kumzika kanumba ni mashabiki wa muvi zake nadhani hata wewe ungepata nafasi ya kwenda kumuaga michael Jackson ungeenda mana km uliweza kupoteza mda na pesa kwenda kwenye show yake hata kumuaga ungependa kwenda! Lakini kuna wengine wangekuona wewe ni mjinga huna kazi unapoteza mda wako.Unaweza kunifafanulia hapa how!!??......mimi ni shabiki wa Wacko Jacko na nilifanikiwa kuhudhuria live show yake moja ila hapa kwenye kuzikwa kutoka pande zote duniani nimeshindwa kukusoma!!
haswaaaa! Umejibu vizuri ila si kundi la wazururaji ni kundi la wapenzi wakeTo agree to disagree is it Prohibited?.... Unapouliza kumuonea wivu Marehemu yaani unamaanisha tulipenda tufe sisi? kwahiyo hatujalizika tunataka afufuke ili na sisi tuzikwe na kundi la wazururaji?
Something wrong kwenye mfumo wako wa ufahamu tangu kifo cha Kanumba, naona nikuache na kile unachoamini.......labda niongee na wewe kwa Lugh nyepese ndio utaelewa somo.hata hao walioenda kumzika kanumba ni mashabiki wa muvi zake nadhani hata wewe ungepata nafasi ya kwenda kumuaga michael Jackson ungeenda mana km uliweza kupoteza mda na pesa kwenda kwenye show yake hata kumuaga ungependa kwenda! Lakini kuna wengine wangekuona wewe ni mjinga huna kazi unapoteza mda wako.