SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,923
- 2,002
Ni story za kutunga tu...
Kisiwa Cha Marashi Ni Wapi Kwani?
Jigo
Wakuu ninataka kujua ili nisiziamini tena hizi tetesi au niamini kama hiki kitu ni kweli endapo na nyie mmeshawahi kusikia hiki kitu
Nimesikia mabinti wa huko wakati wanaolewa hutakiwa kukutwa wakiwa mabikira,yani hawatakiwi kuguswa mpaka wakiIngia ndani ya ndoa.kwa kuwa nao kutokana na sheria kuwabana basi huamua kutumia goli la kusini baada ya kaskazini ili mumewe wa ndoa aje kufaidi hiyo kitu ya kukata uutepe kwenye jengo jipya.
Sina muda wa kubishana ila nahitaji kujua tu kama ndugu zetu huyatenda haya au wanapakwa tu matope.

Kazi yenu kujadili ujinga tu humu kwenye mtandao.
Hebu jadilini ya maana fedha za nchi zimechukuliwa kweupe nini kifanyike?
Muanzisha mada ukishajua kwamba hilo ndilo linalotendeka utapata faida gani? SAUTI YAKO ina echo (mwangwi)