watu wa humu sio wema kwa kweli. sio kwa kamba hiiChunga hii kituView attachment 505159
Nashindwa kukushauri kwa kuwa kichwa cha habari sijakielewa. Maana siku hizi watu wanachanganya kati ya neno KUDHIBITISHA na KUTHIBITISHA.INGAWA MIMI MWENYEWE NI MSHAURI WA MAPENZI NA MAHUSIANO LAKINI HILI LIMENISHINDA. NAOMBA MNISHAURI.
Ndugu zangu na marafiki zangu,
Naandika hili nikihitaji ushauri wa kina, ushauri ambao utaniondoa katika kadhia hili.
Naomba msiangalie mimi ni nani, naomba msiangalie kile ninachokifanya bali naomba mnishauri kama mwanaJF mwenzenu. Ingawa ni mwandishi wa Riwaya zinazohusu mahusiano, lakini kwa hili limenishinda kulitatua.
Ndugu zangu nasumbuliwa na wivu. Wivu ndio unaonisumbua na kunitesa. Nikimpigia mpenzi wangu na kukuta simu yake inatumika basi kwangu mimi ni ugomvi. Hata kama mpenzi wangu ameachana na X wake tena kabla hata yangu miye. Akinihadithia naumia utafikiri bado wapo kwenye mahusiano.
Suala kama hili limenipa matatizo makubwa sana. Niliachana na kugombana na Wapenzi wangu waliopita sababu ya hili. Hata huyu wa sasa sina imani kama tutafika. Nampenda na sihitaji kumuacha ama kumpoteza. Kuna wakati nakasirika na kutaka kufanya maamuzi ya kuachana na mpenzi wangu lakini baadae napuuza nakujiona kuwa mimi ni mpuuzi.
Kabla sijampoteza huyu niliyenae naomba ushauri wenu. Ni vipi naweza kujiondoa katika hili? Je ni kipi nifanye ili nisimpoteze huyu mpenzi wangu? Kuna kipindi nakasirika sana na kutaka kuamua lolote. Lakini mapenzi yangu kwake ni makubwa sana. Siwezi kumuacha. Hata mama yangu hataki nimuache huyu mwanamke.
NAOMBA MNISHAURI NI NINI NIKIFANYE ILI HILI LISINITOKEE?
NAOMBA MSAADA.
Nashukuru sanaUciwe na mawazo nae sana onnesha upendo wako kwake lkn usizid na eivu upo lkn jitahit kupunguza ukizidisha sana ndio utakua mtu wa kugombana ktk mapenz enytime kua mtu wakupoteza ata kama unampigia cm anatumika ucmuwazie vby muamin kwa kila anacho kifanya
mzee mapenzi yanaumiza kichwa sana na ukiwaza sana mambo hayo utashindwa kufanya mambo mengi sana. Mimi niliamua kuachana na kufuatilia mademu na nimeoa but sin mda na mwanamke kabisa. Wengine unagundua umeoa mke feki baada ya harusi. Hizi zama za JPM ni hapa kazi tu, wote aliofeki lazima wawe wajane.INGAWA MIMI MWENYEWE NI MSHAURI WA MAPENZI NA MAHUSIANO LAKINI HILI LIMENISHINDA. NAOMBA MNISHAURI.
Ndugu zangu na marafiki zangu,
Naandika hili nikihitaji ushauri wa kina, ushauri ambao utaniondoa katika kadhia hili.
Naomba msiangalie mimi ni nani, naomba msiangalie kile ninachokifanya bali naomba mnishauri kama mwanaJF mwenzenu. Ingawa ni mwandishi wa Riwaya zinazohusu mahusiano, lakini kwa hili limenishinda kulitatua.
Ndugu zangu nasumbuliwa na wivu. Wivu ndio unaonisumbua na kunitesa. Nikimpigia mpenzi wangu na kukuta simu yake inatumika basi kwangu mimi ni ugomvi. Hata kama mpenzi wangu ameachana na X wake tena kabla hata yangu miye. Akinihadithia naumia utafikiri bado wapo kwenye mahusiano.
Suala kama hili limenipa matatizo makubwa sana. Niliachana na kugombana na Wapenzi wangu waliopita sababu ya hili. Hata huyu wa sasa sina imani kama tutafika. Nampenda na sihitaji kumuacha ama kumpoteza. Kuna wakati nakasirika na kutaka kufanya maamuzi ya kuachana na mpenzi wangu lakini baadae napuuza nakujiona kuwa mimi ni mpuuzi.
Kabla sijampoteza huyu niliyenae naomba ushauri wenu. Ni vipi naweza kujiondoa katika hili? Je ni kipi nifanye ili nisimpoteze huyu mpenzi wangu? Kuna kipindi nakasirika sana na kutaka kuamua lolote. Lakini mapenzi yangu kwake ni makubwa sana. Siwezi kumuacha. Hata mama yangu hataki nimuache huyu mwanamke.
NAOMBA MNISHAURI NI NINI NIKIFANYE ILI HILI LISINITOKEE?
NAOMBA MSAADA.
Kabla ya uhusiano kujengwa huanza kuaminiana, uaminifu ndiyo hua msingi wa mahusiano yoyote.....
NAOMBA MNISHAURI NI NINI NIKIFANYE ILI HILI LISINITOKEE?
NAOMBA MSAADA.
umewahi kumuamini mwanadamu?, Mungu tu ndio mwaminifu wanadamu wanabadilika sanaJifunze kumwamini, hii itasaidia sanaa...