Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,046
Habari za usiku wanajamvi,naomba elimu itumikayo hapa kwenye hii video
Kinachofanyika hapo ni kwamba zinabadilishwa hizo karata zote, yaani hizo unazoziona mwanzo sio utakazoletewa baadaye, ndio maana ile unayoichagua huioni.
Ndugu ni kama ilivyoelezwa na wadau hapo juu. Pointi muhimu ni kwamba karata ZOTE kutoka katika kundi la karata unazotakiwa kuchagua karata mojawapo ni TOFAUTI KABISA na karata ZOTE kwenye kundi la pili litakaloonekana baada ya kuwa umeshachagua na kukariri karata moja.Mmh.
sasa kajuaje mpaka atowe ile uloifikiria
Asante nimeelewa na nimejua ukweliHapo hiyo mizungu waloweka mwanzo si wanayoweka mara ya pili so lazma uikose angalia vizur kuna mavi jembe na kopa chini ni kisu jembe na jembe zifuatazo juu ni kisu kopa mizungu ya pili na chini wanabadili hakuna eti wanakusoma
Habari za usiku wanajamvi,naomba elimu itumikayo hapa kwenye hii video