Felician Paschal
Member
- Aug 15, 2015
- 17
- 11
#1. Akutajie kina la kampuni ambayo ametumia ku_login documents zakolabda nilipie amendment fees.
Niko napambana nae, nitakuja kulitaja kampuni lao soon after wakisha clear mzigo wangu.1. ni kampuni ipi uliotumia
2. Ma clearing agent wengi ni wezi na tamaa yautajiri
3. Amendment fees sio ghali sana
Hao waigaji Na inawezkana kakuona mshamba mshamba hujui vitu ishu nikumkomalia tu na control nambaMtu anakuomba zaidi ya mil na laki 2 za bandari just to clear wagon ndogo tu
Duh we ki'hippopotamusMimi kitu kama gari sitakagi stress na clear mwenyewe kwa mfumo wa kugongeshea... natafuta kampuni tu nawapoza kidogo.. wanalog documents zangu... kisha vilivyobaki vyote nafanya mwenyewe kwa kupoza masela wenye vitambulisho vya port vihela viduchu
Duh we ki'hippopotamus
Ila hizi gharama zingine si hua zinategemea CBMOf course gharama za C&F agent huwa zinacheza kwenye 200K.
But kama amekwambia ni milioni moja, mwambie akutumie invoice ambayo itaenlist vikolombwezo vyote.... Ili ujue hiyo one M imegharimu nini na nini.
Ingawa kiukweli ukitoa CIF cost, na TRA costs, huwa kuna kama 1 milioni costs za bandari huwa zinakuwa associated C&F agency fee inclusive.
Dah nakuja inbox unipe namba tushauriane unipe mbinu nijifunze maana last time nilitumia agent ila alikuwa mstaarabu tu.Hakuna kazi nyepesi kama ku clear gari...agent wanaibia sana wateja... na kuna wengine wanapigwa zaidi wanaemuachia agent kila kitu hadi gari amuagizie agent...
Ku clear gari ni kazi nyepesi sana.. maana kila kitu kiko wazi