Taifa la mbwembwe,watu mbwembwe ,matangazo mbwembwe,siasa mbwembwe,kilimo kwanza mbwembwe,shule za kata mbwembwe Na Vodacom MBWEMBWEEE.Lakn Tutafika hata Ufaransa walianza Mbwembwe
Tatizo liko kwenye uhalisia toka nizaliwe na extended family izi za kiafrica hakuna ata ndugu yangu mmoja ambaye amewai shinda ata kilo tano!
Kuna kipindi inanifanya nisiwe na imani na izi campaign zao!
Kuna kipindi watu walilalamika kuwa ni watu wa North ndo wanashinda the next week tukaona mmoja wa south nae akashinda.
Apo ndo imani ikafa kabisaaaaaaaaaaaaaaa na haya mambo
Kuna ulazima wa kuuliza kwenye izi kampuni usika manake watu wanashiliki lakini wanaishia kukatwa ela za sms tu ila kushinda kiukweli ni ndoto, wanashinda tu watu wa matangazo wakina kibera feki.

Wanataka kazini tusiheshimiane! Eti jamaa anamwambia mwajiri akahudumie wateja yeye anaenda kufungua mgahawa wake! Lakini wangapi wanashinda hizo M 10? Usanii mtupu! Vi-sms vyao huwa navifutilia mbali wakinitumia?! Nyamb..f zao.
Tatizo liko kwenye uhalisia toka nizaliwe na extended family izi za kiafrica hakuna ata ndugu yangu mmoja ambaye amewai shinda ata kilo tano!
Kuna kipindi inanifanya nisiwe na imani na izi campaign zao!
Kuna kipindi watu walilalamika kuwa ni watu wa North ndo wanashinda the next week tukaona mmoja wa south nae akashinda.
Apo ndo imani ikafa kabisaaaaaaaaaaaaaaa na haya mambo
Matangazo ya vodacom daima huwa yana mvuto wa aina yake. Umesahau lile la konda? wakati wanaanza kutoza kwa sekunde. Nafikiri afisa masoko wao ni mbunifu sana.