Hata mimi mwaka jana nilitumiwa text sms kwamba nimeshinda promotion ya Nokia uk. Nikajiuliza sana imekuwaje nami sijapata kushiriki promotion yoyote? Kitu kikaniambia nigoogle nokia promotions uk. Lo! Nikagundua kwamba ilikuwa ni scam na watu wengi wamelizwa vibaya sana. Ushauri: Hebu google microsoft uk promotions uone mambo.